Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
ni na mashaka na ukweli wa huu uzi, sekondari kisha jeshini,chuo kikuu kisha tumeona afu watoto duh,jkt ya juzi tu haya yote mmeyatimiza vp?
Mkewe yeye homa hazimuishi kila siku
nimeamini humu kuna watoto wa shule ya msingi. jkt ilikuwepo toka baada ya uhuru ikasitishwa mwishoni mwa miaka ya 90.
ni na mashaka na ukweli wa huu uzi, sekondari kisha jeshini,chuo kikuu kisha tumeona afu watoto duh,jkt ya juzi tu haya yote mmeyatimiza vp?
Mmm nawaachia wengine wakujibu kuhusu hili, hii inaonyesha kuwa wewe umetoka familia ambayo haijasoma kabisa, maana hata babu yangu mimi alipitia jkt kwa mujibu wa sheria tangu enzi ya Nyerere, hata Mzee Kawawa rip pia alipitia jkt sembuse mimi?
Ndio maana sipendi urafiki mbele ya mke wangu. Urafiki wetu ni huko, mambo ya kumzoea mke ni kumkaribisha shetain tu.
Kaa kimya, huyo kwenye mke atajua tu, unless awe zoba. Japo naona mwisho m'baya wa urafiki wenu.
huyo shemeji yako alianzaje kukwambia kuwa anagongwa na rafiki yenu??..Na alipokwambia ulimwambiaje??..siku zote umeficha huu uovu kwa rafiki yako kinachokufanya leo utake kusema ni nn?
Ndio maana sipendi urafiki mbele ya mke wangu. Urafiki wetu ni huko, mambo ya kumzoea mke ni kumkaribisha shetain tu.
Kaa kimya, huyo kwenye mke atajua tu, unless awe zoba. Japo naona mwisho m'baya wa urafiki wenu.
Acha uchoyo.
Acha uchoyo.
Jeshini wapi, jkt iliyoanza juzi tu halafu chuo kikuu na sasa mmeoa na huku jamaa akiwa anachepuka na mke wa mwenzake kwa miaka mitano sasa! ina maana mlioa kabla hamjafika o level? au uliposema jeshini ulimaanisha nini?
ni na mashaka na ukweli wa huu uzi, sekondari kisha jeshini,chuo kikuu kisha tumeona afu watoto duh,jkt ya juzi tu haya yote mmeyatimiza vp?