Nashindwa kuifichua siri hii

Nashindwa kuifichua siri hii

atoto, kuna wanaume ni opportunists. Wakiona fursa tu wanamtongoza mke. Ikiwa ni mtu wa mbali ni sawa coz mke atatengeneza mazingira ya kutawanywa, lakini siwezi kumtengenezea rafiki yangu mazingira ya kumtawanya lovito wangu.
Hivi na wewe hujui kuwa JKT ilikuwepo hadi late 90s eeh.. Teh, utakuwa umesoma sekondari era ya Kikwete wewe..

Wapi nimesema sijui jamani!! Kwani akimtawanya anaondoka nayo? Si anakuachia.
 
Last edited by a moderator:
ni na mashaka na ukweli wa huu uzi, sekondari kisha jeshini,chuo kikuu kisha tumeona afu watoto duh,jkt ya juzi tu haya yote mmeyatimiza vp?

nimeamini humu kuna watoto wa shule ya msingi. jkt ilikuwepo toka baada ya uhuru ikasitishwa mwishoni mwa miaka ya 90.

Sikia nyie vichwa maji, neno jeshi lina maana zaidi ya jkt, soma mada yake alivyoelezea uone kama alitaja jkt, ndio maana nilim-quote kwa kumuuliza mswali kwamba alimaanisha jeshi lipi? au mnataka mjibiwe kirefu ili mjue kuna baba zenu humu?
 
Rafiki yako naye anakufichia siri, maana anajua na wewe hujui..
 
Wapi nimesema sijui jamani!! Kwani akimtawanya anaondoka nayo? Si anakuachia.

Akimtawanya aweza acha vitu vingi, ngoma, kuharibu elasticity ya naniliu endapo maulana kamjalia kirungu, kisaikolijia pia..sex is more than kusuguliwa wangu!
Swali la jkt umeliruka bestie.
 
kavulata

Kuchapiwa siri ya ndani baba!
Huyo anayechapiwa na yeye anachapa mahali (si ajabu ni kwako)

Huyo anayechapa mke wa rafiki yenu naye wake anachapwa mahali (take it from me )

Malipo ni duniani mkuu! !
Muombe Mungu juu ya ndoa yako!
Akichapa utachapiwa tu whether you like it or not! !!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikia nyie vichwa maji, neno jeshi lina maana zaidi ya jkt, soma mada yake alivyoelezea uone kama alitaja jkt, ndio maana nilim-quote kwa kumuuliza mswali kwamba alimaanisha jeshi lipi? au mnataka mjibiwe kirefu ili mjue kuna baba zenu humu?

ni shida. unafahamu kitu kinaitwa context? au muktadha? unafahamu kitu kinachoitwa maana ambayo haijatajwa? usiwe mwepesi tu kuropoka sijui vichwa maji sijui nini
 
Akimtawanya aweza acha vitu vingi, ngoma, kuharibu elasticity ya naniliu endapo maulana kamjalia kirungu, kisaikolijia pia..sex is more than kusuguliwa wangu!
Swali la jkt umeliruka bestie.

Vipi unataka unipeleke jkt? Usijali itajirudi tu, na akinogewa ndio basi tena uandike maumivu.
 
Punguza urafiki nao , endelea na maisha yako kivyako.
Hapo naona roho ya umauti inawanyelea.
Halafu hapo naona hata wewe umekula shemeji yako , iweje akuambie hiyo siri nzito namna hiyo.
 
ningekuwa mimi ningevunja urafiki na huyo anayeibiwa mke ili niwe na amani,siwezi nikajiita rafiki yako halafu mkeo analiwa halafu nisifanye chochote kukusaidia,siwezi kuona rafiki yangu anafanyiwa kitu mbaya nisifanye jambo kumsaidia,thats me,hivyo nikiona kufanya chochote kumsaidia kutaleta mtafaruku nitavunja urafiki,niishi kwa amani.fikiria wewe mkeo awe analiwa halafu rafiki yako anajua mkeo analiwa,halafu ujue alikuwa anajua mkeo analiwa kwa miaka 5,utamuonaje huyo rafiki yako???
 
ni shida. unafahamu kitu kinaitwa context? au muktadha? unafahamu kitu kinachoitwa maana ambayo haijatajwa? usiwe mwepesi tu kuropoka sijui vichwa maji sijui nini

Sasa context iko wapi? mimi nikisema 3 kwa 2 ni 6 utasema nimekosea, yawezekana ikawa kweli nimekosea lakini hujaniambia nijumlishe au nitoe je ulitegemea nijuaje kama ulitaka nijunlishe au nitoe? Swali lako la kuuliza muktadha hata wewe hujui kwanini umeniuliza.
 
Jitoe kwenye huo urafiki.
Anza maisha yako kivyako tu.
 
Vipi unataka unipeleke jkt? Usijali itajirudi tu, na akinogewa ndio basi tena uandike maumivu.

Ukishaona mtu anakujibu kwa mfumo wa swali...
Zingine hazirudi, inaachia for good. Na akinogewa nawakata vikolojeo vyao tuone nani zaidi. You don't just undress my woman utegemee nitawaacha scot-free.
 
kavulata

Mwambie mwenye mke kwamba anagongewa......na mshkaji sio....
au we unaonaje?....mpange siku mumle kiboga.....
 
Last edited by a moderator:
wenzio nimekimbia mbiombio nifungue nione kuna nn hapa kumbe ni utoto wa shule bado huko

hivi best hawa watafungua lini shule maana stori hizi zimejanzana hapa
Kuchapiwa kunauma sana
 
Back
Top Bottom