Nashindwa kuchagua....!

Nashindwa kuchagua....!

Kweli kabisa jichange, wanawake wasiku hizi wanacheza man2man, hawataki kuibiwa
 
I don't mean uyaache,kuwa balanced do wat you like and at the same time give her the times to be with you whenever she wants you.
kwaiyo nikiwa in love mambo mengine ninayoyapenda nyaache, women take advantage of love to manupulate men coz mkishaingia kwenye mapenzi mwanaume inabid ufanye vi2 anavyovitaka na anavyovipenda mwanamke
 
Kaka wewe kama mimi,, sina timu maalumu nayoishabikia.. I am inlove with the game..

Na siwezi kuishi bila Dstv hata kama sina hela kabisa lakini access ya kuangalia mpira iwepo,, na siwezi kuangalia mpira bar, mi naangalia geto tu nisikie swaga za wachambuzi..

Sasa wife to be ameanza kelele za matumizi mabaya ya kulipia dstv.. Nikamwambia hapo sasa unapoelekea sipo akachoka

mkuu kuna wa2 hawawezi kuelewa raha unayoipa kwenye mpira kama sio wapenzi wa mpira, nakumbuka 2likuwa 2naruka fensi ya shule na washkaji kwenda kucheki mpira alaf leo m2 anakwambia uache?
 
Allllaaaaah chezeya digital genaration wewe!!!!!Its like tunaishi kwenye ulimwengu wa abiria chunga mzigo wako.
Kweli kabisa jichange, wanawake wasiku hizi wanacheza man2man, hawataki kuibiwa
 
Chagua mpira hautakusaliti, hawa vicheche wapo wengi utapata mwingine na hawachelewi kukusaliti!
 
asante sn mkuu wew umenielewa zaidi coz 2nashare interest, kuacha kuangalia mpira ni sawa na m2 mpenzi wa music alaf anamwambia asisikilize, ngoja ninunue dstv nione itakuwaje

Thanks kama umenipata
 
Yeah and am not scaring you but honestly wanawake wanakuwa esily trapped kwa vitu vidogovidogo sana,na hii ni natural as mwanaume aliumbwa kuheshimiwa na mwanamke kupendwa,so mwanamke akipewa maneno mazurimazuri,akasifiwa,akaonyeshwa na partner wake kuwa she is all he needs baaaaaaaaasi hapo unakuwa umemmaliza mwanamke yeyote,kwa hiyo kama we partner wake humfanyii vyote hivyo na jamaa pembeni anammendea and yuko willing kufanya vyote hiyoooo......ooohhhh yes kuna big % of losing your woman esp kama ni tatzo la muda mrefu coz wanawake watulivu ni wavumilivu sana.
thanx nimekuelewa ila mbona mwanzo alikubali wakati 2naanza, kwaiyo akitokea m2 yuko available anytime she want ataniacha? Is this fair? Nw i'm scared
 
Hujaumwa njaa weye,chezeya njaaa eeeeehhhh,haahahahaaaaa jst joking mwaya ila i guess addiction ya kiasi hicho ni harmful remember toooooo muccch is........

Sio kihivyo kwamba nakufa kwa njaa ila ni msisitizo jinsi ninavyopenda soka. Ila kama nina dili la hela shiiiiiiiiiiiiiiit hata matokeo siulizi...chezea nguvu ya pesa.
 
Kwa jibu lako hilo i can guesss that ungeumia kupita maelezo so haijalishi either mud wote au sometimes thinks twice your gal needs some time and space with you anza kumpa wakati now mpira is nothing comparing to a special person,a person that you expect to be with in your entire life!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Time and space haimaanishi 24/7 (365 days a year) mtu anayekwambia either nichague mimi au hobbie yako ni selfish na mbinafsi.., inabidi mtu mwenyewe ndio aache na sio kulazimishwa.., kama kweli huyu dada ni considerate angejifunza kupenda hobbie za mwenza wake ili wa-spend time together.., (unajua ukipenda mtu ni companionship ndio ina-matter haijalishi mnafanya nini) even watching paint dry can be awesome.
 
I don't mean uyaache,kuwa balanced do wat you like and at the same time give her the times to be with you whenever she wants you.
ila na nyie mue mnaelewa m2 akisema anapenda ki2 fulani mwache huru sasa mwanamke ukimwambia unapenda ki2 fulan yeye apoapo ndo anakubana hata ukifanyi kwa raha, mfano usk ukimwambia naenda mpirani atapiga simu mara mbilimbili kuakikisha kama kweli upo mpiran, usipokee sasa ndo utaona moto
 
Kaka wewe kama mimi,, sina timu maalumu nayoishabikia.. I am inlove with the game..

Na siwezi kuishi bila Dstv hata kama sina hela kabisa lakini access ya kuangalia mpira iwepo,, na siwezi kuangalia mpira bar, mi naangalia geto tu nisikie swaga za wachambuzi..

Sasa wife to be ameanza kelele za matumizi mabaya ya kulipia dstv.. Nikamwambia hapo sasa unapoelekea sipo akachoka

Bora tunafanana yaani hata mimi siwezi kuangalia bar, hata mimi kuna kipindi wife alilalamikia matumizi yasiyo ya lazima nikamwelewesha kwamba kwa hapa duniani baada ya yeye mapenzi mengine ya dhati yapo kwenye soka, sasa hivi kama nimeuawa naletewa kijirisiti ka malipo ameniweka hewani kwa mwezi.
 
WE VIPI? Huo mpira una miliki hisa kwenye hizo timu? Unashabikia Mizungu na kumsahau mpenzi wako!

haha haha @Han'some umetamani angekuwa jirani umpe kibao eee ...lolz.
kwa taarifa yako hili ni janga hata kwa baadhi ya ndoa lol.. watu wanashindwa kujua kipi muhimu kati ya mupenzi na mpira. Basi tu wanaume wengi ni watu wa kuupuzia but hawaelewi tu ni namna gani wenzi wao wanaumia.
 
Thiamini nikithomacho kwa hiyo Tamatheo hebu honestly speaking niambie nguvu ya pesa na power of love au strength of a woman kama shaggy alivyojiimbia mbaba wa watu,ipi ipo ni more applicative kwako?
Sio kihivyo kwamba nakufa kwa njaa ila ni msisitizo jinsi ninavyopenda soka. Ila kama nina dili la hela shiiiiiiiiiiiiiiit hata matokeo siulizi...chezea nguvu ya pesa.
 
Last edited by a moderator:
Haaaaahaaaahaaaa pole sana brave one that's how women are and you got to understand them.
ila na nyie mue mnaelewa m2 akisema anapenda ki2 fulani mwache huru sasa mwanamke ukimwambia unapenda ki2 fulan yeye apoapo ndo anakubana hata ukifanyi kwa raha, mfano usk ukimwambia naenda mpirani atapiga simu mara mbilimbili kuakikisha kama kweli upo mpiran, usipokee sasa ndo utaona moto
 
Last edited by a moderator:
Yeah and am not scaring you but honestly wanawake wanakuwa esily trapped kwa vitu vidogovidogo sana,na hii ni natural as mwanaume aliumbwa kuheshimiwa na mwanamke kupendwa,so mwanamke akipewa maneno mazurimazuri,akasifiwa,akaonyeshwa na partner wake kuwa she is all he needs baaaaaaaaasi hapo unakuwa umemmaliza mwanamke yeyote,kwa hiyo kama we partner wake humfanyii vyote hivyo na jamaa pembeni anammendea and yuko willing kufanya vyote hiyoooo......ooohhhh yes kuna big % of losing your woman esp kama ni tatzo la muda mrefu coz wanawake watulivu ni wavumilivu sana.

wanawake wa2 ajabu sn kinachonisikitisha mim vi2 anavyovipenda najitaid vinakuwa kama anavyotaka ukitoa ili la mpira, hata wanaume wanaitaji time na space
 
Yeah nimeiquote point yako vizuri ila ujue mpaka mtu anfikia hatua ya kukutaka uchague moja ujue imekuwa too much na sio selfish.
Time and space haimaanishi 24/7 (365 days a year) mtu anayekwambia either nichague mimi au hobbie yako ni selfish na mbinafsi.., inabidi mtu mwenyewe ndio aache na sio kulazimishwa.., kama kweli huyu dada ni considerate angejifunza kupenda hobbie za mwenza wake ili wa-spend time together.., (unajua ukipenda mtu ni companionship ndio ina-matter haijalishi mnafanya nini) even watching paint dry can be awesome.
 
Ok bro i got your point mnaweza mkakaa na huyo sweet heart wako mkaamua muutumieje muda wenu wa kuwa pamoja na wa kila mtu kufanya mambo yanayomfurahisha na kila kitu kikawa sawa.
wanawake wa2 ajabu sn kinachonisikitisha mim vi2 anavyovipenda najitaid vinakuwa kama anavyotaka ukitoa ili la mpira, hata wanaume wanaitaji time na space
 
Jiulize, mprira unaweza kukusaliti? Hivi hawa mademu unawafahamu au uwafahamu. Usimuendekeze kama vipi apende mpira uangalie naye akishidwa asepe.
 
Back
Top Bottom