Nashindwa kuchagua....!

Nashindwa kuchagua....!

Excuse me for a very long msg,no way i have to write.
Yeah you got a point but know that love means a lot and it includes sacrifising even the most thinks you like so as to make sure that you are both happy,kwa hiyo hapo kazi kwako amua kumloose mdada au kupunguza addiction ya mpira.
And N:B sio wanawake wote wanaosaliti ndoa zao huwa wahuni wasiotulia,wengine wametulia ila wanakosa attention za muhusband wao either ubize wa kazi au ishu kama hiyo ya kwako,akipata mwanaume ambaye ataonyesha yuko tayari kuacha kila kitu kwa ajili yake anakuwa very easily trapped b'se all a woman need is care,love and attention from his man,so watch out bro don't give your beutiful gal a chance to be attraced to another caring man who will be ready to leave every thing just to be with her.
sio kama nimeshindwa kupanga muda, yeye yuko free muda huo ambao mpira ndo unachezwa na ukikaa nae anataka full attention, na me ninachotaka wote 2we na furaha
 
ngoja na me nianze kupunguza

Hapo utakuwa umeweza na utasadifu jina lako,coz it needs a brave person to figth against his/her addiction.Hureeee:cheer2::cheer2:utakuwa mwanaume wa ukwweee na nina imani your gal ataenjoy kuwa nawe na kujitapa kwa wenzie.
 
Ili kujua uzito wa ishu yako hebu tuiweke this way,imagine huyo mdada wako anapenda sana kuchat na marafiki through phones,emails or whatever[hivyo ndio vitu vinavyomfanya awe na furaha na amani].Anatumia muda wake mwingi kuchat na hata wakati ukiwa unahitji attention yake,au unataka tu uwe naye kama mpenzi bado anaendelea tu kuchat kwa sana kila mara kujibu emails,msgs and u realy need her attention,na sio mara moja ni mara zote mkiwa naye hakupi attention yoyote but always busy with chating,na mbaya zaidi umeshamuambia you need some time with her lakini anaonesha somo halijamuingia coz anaendelea na addiction yake.Onestly speaking brave one ungejisikiaje??Ungeendelea naye au?

Ayo sasa sio mapenzi izo dharau alaf iyo situation ni tofauti na ya kwangu i'm nt concetrate that much
 
Last edited by a moderator:
Hapo utakuwa umeweza na utasadifu jina lako,coz it needs a brave person to figth against his/her addiction.Hureeee:cheer2::cheer2:utakuwa mwanaume wa ukwweee na nina imani your gal ataenjoy kuwa nawe na kujitapa kwa wenzie.

ila wanawake wanajali furaha zao sn kuliko za wanaume,ukubwa kazi kwelikweli
 
Komaa na mpira bro mpenzi kitu gani bwana...mapenzi hayaishi..akikubwaga unatafuta mwingine mpenda soccer..
Cha muhimu ujitahidi uwe mwanachama kabisa ili uwe unapata na bonus..kuwa mshabiki tu hakutoshi
 
Umesema hata ukiwa naye bado huwa unatumia muda mwingi kuangalia matokeo kwenye simu au nilikuquote vibaya?
Ayo sasa sio mapenzi izo dharau alaf iyo situation ni tofauti na ya kwangu i'm nt concetrate that much
 
Hayo usemayo sio ya kweli,ninachojua mimi ni kuwa mara nyingi wanawake wanakuwa wako tayari kwa lolote ili tu kuwa na wapenzi wao na kuwaridhisha,ila wanaume ndio vimeo mara marafiki,basketball,kwenda kuangalia mpira au ubize wa kutafuta pesa,sema hapa you are jst looking for an excuse.
ila wanawake wanajali furaha zao sn kuliko za wanaume,ukubwa kazi kwelikweli
 
Excuse me for a very long msg,no way i have to write.
Yeah you got a point but know that love means a lot and it includes sacrifising even the most thinks you like so as to make sure that you are both happy,kwa hiyo hapo kazi kwako amua kumloose mdada au kupunguza addiction ya mpira.
And N:B sio wanawake wote wanaosaliti ndoa zao huwa wahuni wasiotulia,wengine wametulia ila wanakosa attention za muhusband wao either ubize wa kazi au ishu kama hiyo ya kwako,akipata mwanaume ambaye ataonyesha yuko tayari kuacha kila kitu kwa ajili yake anakuwa very easily trapped b'se all a woman need is care,love and attention from his man,so watch out bro don't give your beutiful gal a chance to be attraced to another caring man who will be ready to leave every thing just to be with her.

thanx nimekuelewa ila mbona mwanzo alikubali wakati 2naanza, kwaiyo akitokea m2 yuko available anytime she want ataniacha? Is this fair? Nw i'm scared
 
Hayo usemayo sio ya kweli,ninachojua mimi ni kuwa mara nyingi wanawake wanakuwa wako tayari kwa lolote ili tu kuwa na wapenzi wao na kuwaridhisha,ila wanaume ndio vimeo mara marafiki,basketball,kwenda kuangalia mpira au ubize wa kutafuta pesa,sema hapa you are jst looking for an excuse.

kwaiyo nikiwa in love mambo mengine ninayoyapenda nyaache, women take advantage of love to manupulate men coz mkishaingia kwenye mapenzi mwanaume inabid ufanye vi2 anavyovitaka na anavyovipenda mwanamke
 
Easy mwambie na yeye akuchague wewe au kuacha kitu anachokipenda (iwe tamthiliya, kwenda saloon kusuka au kuongea na washikaji zake)

Maisha ni compromise na kuishi na mtu ni ni kuvumilia na kuishi nae kama ulivyomkuta sio kumbadilisha kama unavyotaka wewe (in short huyu ni selfish).
 
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana

Tatizo lako kama langu, yaani bila soka hata msosi tupa kule ajabu zaidi mimi sina timu nashabikia...Kwangu nilipomkwaza mke wangu tulikaa chini tukatafuta njia muafaka nayo ni kununua kingamuzi (DSTV) ili iwe rahisi kupanga mambo, hivyo w-end tunakaa pamoja na kufanya yetu from morning to everning then hapo nachukua sterling kwenye mpira hadi hata 7 usiku. Asikuambie mtu kipendacho roho hula nyama mbichi....nakushauri mpange ratiba na kama anakuelewa au mnaelewana ni wazi atakuja hata asubuhi ili umpe full concentration hadi mida ya soka, pia kama unamuda kuwa na DSTV itarahisisha zaidi kwani utajua ratiba vyema zaidi. NAKUSHAURI USIPOTEZE HATA KIMOJA i.e Mpenzi na Soka.
 
Umesema hata ukiwa naye bado huwa unatumia muda mwingi kuangalia matokeo kwenye simu au nilikuquote vibaya?

inatokea wakati wa mechi 2 ila wew unazungumzia wakati wote
 
Easy mwambie na yeye akuchague wewe au kuacha kitu anachokipenda (iwe tamthiliya, kwenda saloon kusuka au kuongea na washikaji zake)

Maisha ni compromise na kuishi na mtu ni ni kuvumilia na kuishi nae kama ulivyomkuta sio kumbadilisha kama unavyotaka wewe (in short huyu ni selfish).

umeonaeeh mkuu mwanzo 2naanza nilimwambia kabisa akakubali nw kibao kimegeuka
 
Kwa jibu lako hilo i can guesss that ungeumia kupita maelezo so haijalishi either mud wote au sometimes thinks twice your gal needs some time and space with you anza kumpa wakati now mpira is nothing comparing to a special person,a person that you expect to be with in your entire life!!!!!!!!!!!!!!!!!.
inatokea wakati wa mechi 2 ila wew unazungumzia wakati wote
 
Tatizo lako kama langu, yaani bila soka hata msosi tupa kule ajabu zaidi mimi sina timu nashabikia...Kwangu nilipomkwaza mke wangu tulikaa chini tukatafuta njia muafaka nayo ni kununua kingamuzi (DSTV) ili iwe rahisi kupanga mambo, hivyo w-end tunakaa pamoja na kufanya yetu from morning to everning then hapo nachukua sterling kwenye mpira hadi hata 7 usiku. Asikuambie mtu kipendacho roho hula nyama mbichi....nakushauri mpange ratiba na kama anakuelewa au mnaelewana ni wazi atakuja hata asubuhi ili umpe full concentration hadi mida ya soka, pia kama unamuda kuwa na DSTV itarahisisha zaidi kwani utajua ratiba vyema zaidi. NAKUSHAURI USIPOTEZE HATA KIMOJA i.e Mpenzi na Soka.

Kaka wewe kama mimi,, sina timu maalumu nayoishabikia.. I am inlove with the game..

Na siwezi kuishi bila Dstv hata kama sina hela kabisa lakini access ya kuangalia mpira iwepo,, na siwezi kuangalia mpira bar, mi naangalia geto tu nisikie swaga za wachambuzi..

Sasa wife to be ameanza kelele za matumizi mabaya ya kulipia dstv.. Nikamwambia hapo sasa unapoelekea sipo akachoka
 
Hujaumwa njaa weye,chezeya njaaa eeeeehhhh,haahahahaaaaa jst joking mwaya ila i guess addiction ya kiasi hicho ni harmful remember toooooo muccch is........
Tatizo lako kama langu, yaani bila soka hata msosi tupa kule ajabu zaidi mimi sina timu nashabikia...Kwangu nilipomkwaza mke wangu tulikaa chini tukatafuta njia muafaka nayo ni kununua kingamuzi (DSTV) ili iwe rahisi kupanga mambo, hivyo w-end tunakaa pamoja na kufanya yetu from morning to everning then hapo nachukua sterling kwenye mpira hadi hata 7 usiku. Asikuambie mtu kipendacho roho hula nyama mbichi....nakushauri mpange ratiba na kama anakuelewa au mnaelewana ni wazi atakuja hata asubuhi ili umpe full concentration hadi mida ya soka, pia kama unamuda kuwa na DSTV itarahisisha zaidi kwani utajua ratiba vyema zaidi. NAKUSHAURI USIPOTEZE HATA KIMOJA i.e Mpenzi na Soka.
 
Tatizo lako kama langu, yaani bila soka hata msosi tupa kule ajabu zaidi mimi sina timu nashabikia...Kwangu nilipomkwaza mke wangu tulikaa chini tukatafuta njia muafaka nayo ni kununua kingamuzi (DSTV) ili iwe rahisi kupanga mambo, hivyo w-end tunakaa pamoja na kufanya yetu from morning to everning then hapo nachukua sterling kwenye mpira hadi hata 7 usiku. Asikuambie mtu kipendacho roho hula nyama mbichi....nakushauri mpange ratiba na kama anakuelewa au mnaelewana ni wazi atakuja hata asubuhi ili umpe full concentration hadi mida ya soka, pia kama unamuda kuwa na DSTV itarahisisha zaidi kwani utajua ratiba vyema zaidi. NAKUSHAURI USIPOTEZE HATA KIMOJA i.e Mpenzi na Soka.

asante sn mkuu wew umenielewa zaidi coz 2nashare interest, kuacha kuangalia mpira ni sawa na m2 mpenzi wa music alaf anamwambia asisikilize, ngoja ninunue dstv nione itakuwaje
 
Back
Top Bottom