Nashindwa kuchagua....!

Nashindwa kuchagua....!

chagua mpira!
kwa kuwa wewe hufai kuwa mume wa mtu!hapo umesema ndio umeanzisha uhusiano, mkifunga ndoa si ndio itakuwa balaa!
unajua, washauri wa mambo ya ndoa wanashauri kijana aoe akiwa amefikia umri fulani hivi, la sivyo ni matatizo tu.samahani mzee, una umri gani, kama chini ya miaka 28 tafadhali mwache dada wa watu atafute mwingine. kama umri umevuka huo basi hufai kuwa mume tena mume wa kisasa, chagua mpira....
 
Thiamini nikithomacho kwa hiyo Tamatheo hebu honestly speaking niambie nguvu ya pesa na power of love au strength of a woman kama shaggy alivyojiimbia mbaba wa watu,ipi ipo ni more applicative kwako?

Mimi naamini kama ukitaka kesho nzuri itumie leo kupata pesa....Mimi nikipata jambo la kuniingia pesa hata usingizi unachopoka kwa muda sembuse woman.
 
Chagua mpira hautakusaliti, hawa vicheche wapo wengi utapata mwingine na hawachelewi kukusaliti!

Siku hizi neno uaminifu limeshapitwa na wakati. Mpende kama ua siku atakayo kufanyia ushenzi, utajuta kuzaliwa.
 
Haaaaahaaaahaaaa pole sana brave one that's how women are and you got to understand them.

najitaidi kuwaelewa ila na nyie mue mnaelewa, nimemsumbua sn mama kurudi usiku kutoka mpirani, nimeruka sana fensi shule kutoroka kwenda kuchek mpira alaf m2 kirahisi 2 anakwambia acha kuangalia hii sio fair kabisa
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi neno uaminifu limeshapitwa na wakati. Mpende kama ua siku atakayo kufanyia ushenzi, utajuta kuzaliwa.

sasa nikimpenda mim ndo nisifanye starehe zangu, akinisaliti iyo tabia yake
 
Mimi naamini kama ukitaka kesho nzuri itumie leo kupata pesa....Mimi nikipata jambo la kuniingia pesa hata usingizi unachopoka kwa muda sembuse woman.

apo kwenye pesa 2sitaniane kabisa, hata iwe wapi itafuatwa unajua aya mapenzi 2nacomplicate sn
 
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana

Nina maswali kwako
1-Binti aliyejaliwa uzuri, yupo UDSM. Embu weka kipato chako cha mwezi hadharani
2-Je mpira unaangalia kwako au unaenda sehemu kama Bar?
3-Je mpenzi wako anapenda kubembelezwa au ni mtu wa mastory tu kama chiriku?

Nijibu kisha nitakushauri
 
chagua mpira!
kwa kuwa wewe hufai kuwa mume wa mtu!hapo umesema ndio umeanzisha uhusiano, mkifunga ndoa si ndio itakuwa balaa!
unajua, washauri wa mambo ya ndoa wanashauri kijana aoe akiwa amefikia umri fulani hivi, la sivyo ni matatizo tu.samahani mzee, una umri gani, kama chini ya miaka 28 tafadhali mwache dada wa watu atafute mwingine. kama umri umevuka huo basi hufai kuwa mume tena mume wa kisasa, chagua mpira....

you don know hw she means to me, alaf kila m2 anastarehe yake wengine music, bia, club,movies sasa mim ni mpira mbona ivo vingine vinafanyika na mapenzi yanaendelea apo huna hoja
 
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana

Ningebahatika kukutana na huyo mdada ningemwambia aachane na wewe kwani hujawa na akili za kumjua yeye ni nani kwako na anampango gani na wewe kimaisha. Ivi unaweza linganisha mke to be na mpira? au na wewe ni miongoni mwa wale wanaojiita mashetani wekundu? lijitu bila hana aibu linajita lishetani
 
Khaaaaaaa umeharibu my day kwa kumfikiria mkeo akijua msimamo wako kumhusu sijui atajisikiaje!!!!!!!!!!!!
Mimi naamini kama ukitaka kesho nzuri itumie leo kupata pesa....Mimi nikipata jambo la kuniingia pesa hata usingizi unachopoka kwa muda sembuse woman.
 
Nina maswali kwako
1-Binti aliyejaliwa uzuri, yupo UDSM. Embu weka kipato chako cha mwezi hadharani
2-Je mpira unaangalia kwako au unaenda sehemu kama Bar?
3-Je mpenzi wako anapenda kubembelezwa au ni mtu wa mastory tu kama chiriku?

Nijibu kisha nitakushauri

kipato changu kina figure 6
mpira naangalia bar japo sinywi
ni mtaratibu anaependa kudeka na kusikilizwa
 
Nimekusoma mkuu ila pole tena maanake naona linakuumiza kichwa sana,nakutakia mafanikio mema pamoja na mpenzio.
najitaidi kuwaelewa ila na nyie mue mnaelewa, nimemsumbua sn mama kurudi usiku kutoka mpirani, nimeruka sana fensi shule kutoroka kwenda kuchek mpira alaf m2 kirahisi 2 anakwambia acha kuangalia hii sio fair kabisa
 
apo kwenye pesa 2sitaniane kabisa, hata iwe wapi itafuatwa unajua aya mapenzi 2nacomplicate sn

Watu wanashindwa kuelewa ni kitu gani kinadumu muda mrefu kati ya mapenzi na nguvu za kuwajibika. Mapenzi yanadumu hadi utakapoondoka hapa duniani ila nguvu ya kusaka pesa iko hapa ujanani, ukishazeeka unatakiwa ule akiba na sio kutafuta tena.
 
Ningebahatika kukutana na huyo mdada ningemwambia aachane na wewe kwani hujawa na akili za kumjua yeye ni nani kwako na anampango gani na wewe kimaisha. Ivi unaweza linganisha mke to be na mpira? au na wewe ni miongoni mwa wale wanaojiita mashetani wekundu? lijitu bila hana aibu linajita lishetani

mkuu kama angewahi kucheza mpira ungenielewa zaidi, sijasema yeye ni sawa na mpira, yeye nampenda maka mpenz wangu na mpira niburudan yangu tangu mtoto nimecheza sn mpaka sasa nafanya majukumu mengine
 
kipato changu kina figure 6
mpira naangalia bar japo sinywi
ni mtaratibu anaependa kudeka na kusikilizwa

Okay,
Yawezekana akawa na wivu akihisi ukiwa unaangalia mpira sehemu za Bar utakengehuka. Mpenzi wako ana kumbukumbu nyingi sana za X wake. Piga esabu Primary, Seconday mpaka amekupata wewe ambaye unaajira tayari amezinguliwa na jamaa wangapi. Lazima alinde mzigo wake.
Si umesema yupo UDSM. Nakushauri kila akija weekend kukutembelea mpokee simu yake ushinde nayo pamoja na yeye. Uwe unajifanya unaangalia setting, picture NK. Alafu umuone japo kwa usoni mwake tu. Fanya hivyo weekend mbili tu ya tatu akija usimpokee simu, wewe muombe ruhusa ya kwenda kuangalia mpira. Alafu nitafute unipe jibu.
 
mkuu kama angewahi kucheza mpira ungenielewa zaidi, sijasema yeye ni sawa na mpira, yeye nampenda maka mpenz wangu na mpira niburudan yangu tangu mtoto nimecheza sn mpaka sasa nafanya majukumu mengine

basi jua kuwa yeye ni sehem ya tatizo lako ambalo unatakiwa uli atend kila linapokupata, huyo hafanya kosa mida hiyo hapo yupo kwenye kukuchunguza jinsi utakavyo kuwa tayari kujali mambo ya kifamilia pindi mtakavyoowana. kwani anajua kabisa hata utakavyomuowa bado mipira itakuwepo sasa anapima je siku timu yako ikiwa inacheza mech ya fainali na pakatokea tatizo la kifamilia utaweza kubaki home kulitatua? au hakuna tatizo lakini wife wako kakutaka ubaki mstarehe starehe zenu je utakuwa tayari? dogo anza kubadirisha upeo wa kufikiria hasa unapozungumzia mambo ya kifamilia unless unamtumia tu na huna mpango nae

AU NAKUSHAURI UACHANE NAE MAPEMA NA UTAFUTE AMBAYE MTAWEZA KUENDENA KWA TABIA ILI MBELE YA SAFARI MSISUMBUANE
 
Khaaaaaaa umeharibu my day kwa kumfikiria mkeo akijua msimamo wako kumhusu sijui atajisikiaje!!!!!!!!!!!!

Mke wangu kwenye pesa wala sina haja ya kuweka alarm, hata sasa 10 usiku ukimwambia utaamshwa hadi ahakikishe umejiandaa na kuwahi. Chezea pesa weye
 
Umenikumbusha mbali sana, jamaa yangu alitoshwa na demu sababu ya kuupa kipaumbele mpira.
 
you don know hw she means to me, alaf kila m2 anastarehe yake wengine music, bia, club,movies sasa mim ni mpira mbona ivo vingine vinafanyika na mapenzi yanaendelea apo huna hoja

mzee wewe ndio huna hoja, ungekuwa na hoja zilizotulia ungeweza kuchagua.
kwa kuwa uliomba usaidiwe kuchagua-mi nakushauri chagua mpira...sasa unataka tukusaidieje, wewe unayefikri kuwa una hoja?
 
Okay,
Yawezekana akawa na wivu akihisi ukiwa unaangalia mpira sehemu za Bar utakengehuka. Mpenzi wako ana kumbukumbu nyingi sana za X wake. Piga esabu Primary, Seconday mpaka amekupata wewe ambaye unaajira tayari amezinguliwa na jamaa wangapi. Lazima alinde mzigo wake.
Si umesema yupo UDSM. Nakushauri kila akija weekend kukutembelea mpokee simu yake ushinde nayo pamoja na yeye. Uwe unajifanya unaangalia setting, picture NK. Alafu umuone japo kwa usoni mwake tu. Fanya hivyo weekend mbili tu ya tatu akija usimpokee simu, wewe muombe ruhusa ya kwenda kuangalia mpira. Alafu nitafute unipe jibu.

ngoja nifanye ivo 2one itakuwaje
 
Back
Top Bottom