Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,242
Jichange fasta funga Smart Tv geto plus DSTV premium package,,, 129,000 kwa mwezi si haba kwa mtu mwenye mapenzi ya mpira kutoka moyoni... Ili uangalie mpira home ukiwa naye maana bar kuna matusi na mabishano yasiyo na maana kuenda na your loved ones haipendezi...
Duh lakini kaka umetisha mi mwenyewe mpenzi wa Soka but when it comes to Sweetheart Soka linanisamehe kidogo...
Wanawake wa kizazi hichi kazi mnayo yaani Dume linapenda Manchester kuliko Wife..
Manchester unaongelea mji au timu?
kama ni timu kwa kizazi hiki hauta eleweka.
Itakua rahisi ukisema "United" au "City"....
Timu zote saivi zimeacha jina la "manchester" maana hamna anae
tambulishwa nalo.
Japo ukitaja "City" utaeleweka kama una maanisha "Manchester City"
lakini kuna timu zime dharauliwa hapa kwa ujio wa kasi wa City.
Timu kama Swansea,Stoke,Norwich, zinakua zime onewa kwa kunyang'anywa
majina yao ya mwisho.
Pint ni kwamba,Manchester haitambulishi timu saivi kama zamani.
It's either "City" or "United"