Lini ccm itashinda Pemba?Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Lini ccm itashinda Pemba?Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
wasiojua Arachuga watabaki kuuza chai humu. hawaoni kwanini Lema amepanic sana kumuona Gambo? anamjua Gambo sawa sawa maana aliisambaratisha team Lowasa ikiongozwa na Bananga na Milya mpka wakafukuzwa kwenye chamaNdio Ukweli huo. Monaban hata mimi ningemshinda.. Haikuwa saizi ya Lema. Kinana anamuandaa Gambo kuja kulirudisha Jimbo lake
Siasa ni timing atafanya sasa hivi then lema atakuja fanya moja watasahau yote watamkumbuka lemaSiasa ni kuwatumikia watu na kuwasaidia wananchi kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Kama kweli Mrisho Gambo ana malengo ya kugombea ubunge 2020 aendeleze juhudi za kuwatumikia wananchi bega kwa bega lolote linawezekana kwani ni kijana na uwezo wa kuthubutu anao
Achukue Jimbo CCM haina mtu aliyeishi Arusha anayeweza msumbua Lema. Gambo ni chaguo sahihi kwao. Anaweza kuwa hata Waziri Mkuu BaadayeKwani akiwa RC hawezi kuyafanya hayo mpaka awe mbunge. Abaki hapo hapo Rais wa mkoa wa Arusha amchachafye Lema akagombee Ngarananyuki.
watanitukanaWaambie..
Achukue Jimbo CCM haina mtu aliyeishi Arusha anayeweza msumbua Lema. Gambo ni chaguo sahihi kwao. Anaweza kuwa hata Waziri Mkuu Baadaye
Ana uwezo huo sana. Anajiamini sana kama Lema alivo. Wakisimamishwa Kwenye Debate Lema anaweza kosa points.
Kumbuka ana Masters pia.. Hayo sio mafanikio..?Gambo awe waziri mkuu? Uyu anaepigania wanawake? Mnafiki mkubwa uyu aliemchongeza mkuu wa mkoa mpaka akatenguliwa?
Kiujumla Gambo ajawai kufanikiwa sehemu yoyote kwenye maisha yake,zaidi ya kupandikiza chuki na majungu.
Kumbuka ana Masters pia.. Hayo sio mafanikio..?
sasa Lema ana busara?Uongozi sio elimu,uongozi ni busara,hekima na uvumilivu.
hawajifunzagi hawa.Ila ukweli wataupata. Tatizo hawapendi ukweli. Wa JIFUNZE Kwa yaliyomtokea Wenje
Umesema hajawahi fanikiwa Kwa chochote Kwenye maisha yake. Weka Akiba ya Maneno Mkui