Wewe ndo Gambo mwenyewe?Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Wewe ndo Gambo mwenyewe?Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Anza na maisha yako kwanza, Arusha ni kubwa sana kwakoHapana ni muumuni wa Maendeleo. Nataka iona Arusha Mpya
Aisee itakuwa poa sana. Maana hicho kipigo atakachopata hata kile cha Batilda ni cha mtotoMimi ni mpenzi wa CHADEMA kwa muda mrefu sasa hapa mkoani Arusha lakini kasi ya huyu kijana Mh. Mrisho Gambo ni kubwa sana na mbunge wetu Lema asipogutuka mapema atakuta mwenzake yupo mbali sana.
Tangu awe Mkuu wa Mkoa amefanya vitu vingi na sensitive sana.
Kukutana na walimu wote, kukutana na waandishi wa habari, kujadili kuhusu utalii na changamoto zake mkoani Arusha, suluhisho la mgogoro wa murieti na ujenzi wa Kituo cha Polisi Kwa Morombo ni baadhi ya mambo machache tu na yanayotia hamasa na kazidi kumjengea umaarufu na imani kwa wana arusha wote.
Yule Mh. Lema ninayemjua sijui yuko wapi kwa sasa. Juzi tu Mh. Gambo kaagiza pesa zilizookolewa kutokana na madiwani kujizidishia zitumiwe kulipia madeni ya walimu. Kama ni hivi CHADEMA itasalimika kweli?
Mrisho Gambo gombea ubunge 2020 ili wapinzani wa jifunze na kurudisha ule ushindani uliopotea kwa muda mrefu.
Arusha tunataka maendeleo sio vurugu tena.
Wasalaam,
Kwa taarifa yako,sio kila anae cheka na wewe anakupenda.Wanafunika kombe mwana haramu apite.KWA JINSI NIMJUAVYO LEMA,neno moja tuu,arusha yoote ya kwakeHapana. Yupo huko anatatua mgogoro wa Maderava wa Noah
Alivogoma kula hakuna mtu aliyesumbuka kama zamani.. Walichukulia poa Tu. Zamani Lema akiguswa tu kidogo Arusha Inaamka ila kwasasa mmmmmmh!Kwa taarifa yako,sio kila anae cheka na wewe anakupenda.Wanafunika kombe mwana haramu apite.KWA JINSI NIMJUAVYO LEMA,neno moja tuu,arusha yoote ya kwake
tatizo muda wote ulikuwa unazunguka tu hapo keep-left.mwishowe umepatwa na kizunguzungu hadi ukajikuta unapost kinyume cha habari. kalale kwanza urudi hapa siku nyingine. ogopa sana keep-left!Nipo Arusha na nazunguka sana Kwa machalii. Mh Lema asipokuwa makini hili Jimbo linaondoka
Ninavyoijua Arusha hata aende agombee magu mwenyewe hatopata kura labda za mezani wale watu wa Arusha sio wa kudanganywa aisee ! Watakulia hela zako na watakutema tu kwenye sanduku la kura pale ni upinzani hadi watoto wadogo ! Kama ni kweli Gambo atagombea basi atajidhalilisha bure !Hongera sana ila kumbuka ARUSHA MJINI haitorudi CCM mpaka mwisho wa dunia.
Sijawahi ipenda CCM. Ninasema haya Kwa mapenzi mema kabisa. Mbunge na Madiwani wa Arusha wawe makini. Mh Gambo ni mtu makini na anayejua siasa za kizazi hiki ambacho wagombea wengi wa CCM walikosa Pindi wanapokabiliana na Lema. Gambo anaweza kuwa Lema Mpya Arusha anayetokea upande wa CCMWewe unaipenda chadema huku unaipenda ccm mbona hueleweki mkuu??? Embu jifunze kuwa na msimamo kwanza
Isije ikawa wew ni Mamluki umetumwa kukihujumu chama...Maana hamnaga urafiki kati ya Simba mwenye njaa na Swala aliyenona
Amuulize Davis Mosha jinsi alivyopigwa kichapo kibaya MoshiAisee itakuwa poa sana. Maana hicho kipigo atakachopata hata kile cha Batilda ni cha mtoto

Mimi ninachojua ni kwamba kiongozi yeyote anayejua kero za wananchi na akajaribu kutatua kwa kuwashirikisha ipasavyo na wakatambua kweli mtu huyu yupo kwa ajili yao atakuwa kiongozi wa watu hao kwa muda mrefu lakini ukaweka kisogo interest zao na mtu mwingine akaja kuzifanyia kazi huyo ndiye watakaye kuwa na imani naye. Kwa mawazo yangu mimi yeye anatimiza wajibu wake kama kiongozi katika mkoa huo kwa sababu serikali hii lengo lake ni kutatua kero za watu na kuleta maendeleo. Uongozi thabiti ni ule wenye malengo ya kutatua kero za wananchi wake. Watu watapima kwa kuwatumikiaSiasa ni kuwatumikia watu na kuwasaidia wananchi kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Kama kweli Mrisho Gambo ana malengo ya kugombea ubunge 2020 aendeleze juhudi za kuwatumikia wananchi bega kwa bega lolote linawezekana kwani ni kijana na uwezo wa kuthubutu anao
Chugga tangu lini wameipenda ccm zaidi ya pale mtaa wa Pangani ??? Hivi unadhani mrisho gambo ana ubavu wa kupambana na Lema Godbless??Sijawahi ipenda CCM. Ninasema haya Kwa mapenzi mema kabisa. Mbunge na Madiwani wa Arusha wawe makini. Mh Gambo ni mtu makini na anayejua siasa za kizazi hiki ambacho wagombea wengi wa CCM walikosa Pindi wanapokabiliana na Lema. Gambo anaweza kuwa Lema Mpya Arusha anayetokea upande wa CCM
Ana uwezo huo sana. Anajiamini sana kama Lema alivo. Wakisimamishwa Kwenye Debate Lema anaweza kosa points.Chugga tangu lini wameipenda ccm zaidi ya pale mtaa wa Pangani ??? Hivi unadhani mrisho gambo ana ubavu wa kupambana na Lema Godbless??