Kabla ya kuongelea madereva tuongelee Mamlaka simamizi, nyingi zinakula rushwa na ndiyo maana madereva hawadhibitiki hata iwejeImefika mahali hizi Ajali sio bahati mbaya tena ni Uzembe wa mtu mmoja unaweza ondoa maisha ya familia za watu wasiopungua 60 ndani ya basi ndani ya nusu saa tu!! Hii sio sawa...kwa nn tukubali kuwa km km kuku mtu mmoja Atuchinje kwa Akili yake tu bila sababu hivi hakuna soln mbadala ya kudeal na huyu mtu kabla ya kumkabidhi roho zetu azisafirishe tukiwa hai
Wazo zuri sana mkuu.Imefika mahali hizi Ajali sio bahati mbaya tena ni Uzembe wa mtu mmoja unaweza ondoa maisha ya familia za watu wasiopungua 60 ndani ya basi ndani ya nusu saa tu...
Tunafanyaje sasa au tukubali kupoteza familia kimasihara.Mkuu hao madereva wanafanya kazi katika mazingira magumu sana, long hours, ujira mdogo, leo areport afanyiwe counselling, familia yake itakula wapi ndio maana wengine wanajilipua tu hata kama wamejua siku hio hawajisikii vizuri...lol.
Ahsante mkuu,Ila hilo neno nasikiaga tu Madaktari wanalitamka halafu mi mwenyewe sijasoma kiviile labda unisaidie hilo neno kwa kiswahili silijui lengo langu ilikuwa kufikisha Ujumbe,Utanisamehe kwa uandishi wangu.Una mawazo mazuri ila uandishi wako ni wa hovyo, unafupisha maneno kiajabu ajabu tu mpaka unapoteza maana ya sentesnsi.
Na sio lazima uandike heading kwa kiingereza mkuu.
Ungetumia ushauri wa kitaalam.Ahsante mkuu,Ila hilo neno nasikiaga tu Madaktari wanalitamka halafu mi mwenyewe sijasoma kiviile labda unisaidie hilo neno kwa kiswahili silijui lengo langu ilikuwa kufikisha Ujumbe,Utanisamehe kwa uandishi wangu.