Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Msalaba ni nembo rasmi ya kanisa na wakristo hakuna kanisa lolote lisilo na msalaba.
Hakuna alama ya kujumlisha cross yake iko juu, bali cross ya alama ya kujumlisha ipo kati, na uwelewe kuwa alama huwakilisha utambulisho au maandishi kwa hiyo ktk mawasiliano ya alama huwezi kukurupa msalaba ukasema ni jumlisha utafeli,
Haja katazwa mkristo kuvaa alama za kikristo na muislam kuvaa alama za kiislam, ila tunapofika masula ya taifa, tunacha alama zetu na kuvaa alama ya taifa,
Swali hiyo alama inawakilisha kipi ktk taifa mpaka iwekwe ktk jezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nadhani sisi ndio tunayaleta ila sidhani km wabunifu walikuwa na maana hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...................Kwani wewe alama ya msalaba unaifafanuaje kwa uelewa wako?hiyo habari ya kuanza kuitana kafir hapa iweke pembeni hilo litajulikana tukishaanza kujibiana maswali tutakayoulizana hapa kwamba nani kafir nani siyo kafir?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hv kwanza hawa wanaoita wenzao makafiri, wao wana utakatufu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na hao mnaobishana nao akili zeno zipo nyuma. Ambulance ina msalaba hawalalamiki, mchezaji akiumia wanaoenda kumbeba wamevaa nguo zenye msalaba tim za ulaya zina msalaba na mnazishabikia hadi kuvaa izo jezi mnavaa na kutambiana leo hii jezi ambayo sio official na haitavaliwa na wachezaji mmeanza kuhaji wajinga nyie. Jezi za tstaz zinatengeneza na UHLSPORT KUWENI NA AKILI VICHWA MAJI NYINYI




MOOODS FUTENI IZI MAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambulance haina msalaba, Hivi kumbe kuna kundi kubwa la watu hawajui tufauti ya alama ya kujumlisha na msalaba... Aiseeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nao unaonyesha kiasi gani a black man could be so insane, mtu mweusi amekuwa janga la kibunia kabisa. Ujinga mtupu...
 
Kasema kufanya vzuri kwa Simba ni matokeo mazuri ya uwekezaji wa miundo mbinu katika awamu ya Tano.

Anyway mkuu, tatizo CCM wanapenda kudandia mambo yenye publicity ili wajitangaze.. hata ule msiba wa ndg .Ruge (R.i.p) ulitumika vby kwa baadhi ya watu.

Hii kitu inarostisha kada ya michezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
You see,wakati anapigwa tano tano kalikuwa kimyaaa. Na pia hakajui hata maana ya matokeo mazuri, simba kafuzu kimahesabu hakuna uzuri wowote kwenye kufuzu kwake.
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Nataraji leo siku yangu itakuwa nzuri kwa kukutana na ww Chief katika Jukwaa hili.

Maneno ya mwenye akili na mtazamo wa mbali

Shukran Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom