Mbona unatoka nje ya mada hiyo tabia ya maneno machafu ni jinsi mwanamke alivyolelewaWanawake ni watu wa ajabu sana, hawajielewi . mtu kaenda shule pengine ni degree holder lakini mambo anayofanya huwezi amini. Kuna dada mmoja tulikuwa tunasoma darasa moja chuo yeye hasomi kazi yake kujipodoa tu mawanja tu halafu anatuambia wanaume someni mi mwenzenu nikirembua tu mwl anatamani mzigo , akitamani mzigo najiachia . na walimu walishamjua basi wakawa wanamgonga kweli miti . lakini amemaliza kwa alama za chupi amepata kazi nzuri.