Nashangazwa sana na hawa viumbe wanaoitwa WANAWAKE

Nashangazwa sana na hawa viumbe wanaoitwa WANAWAKE

aibu inakuja pale unapomuona na kumsikia "mwanamke" akituka kiungo chake cha "uzazi" unajiuliza inakuaje hii?! how come?
 
Ndo maneno yao hayo hata sjui kwa nn hawa watu bana ni shida kwa kweli.!
 
Hii kitu tunaipenda kuitumia ila baadhi ya wanawake wanaidhalilisha sana, wanaishusha thamani, juzi kati niko kwenye bajaji na mmama umri umekwenda kidogo sasa kuna bodaboda alitaka kujichanganya atusababishie ajari dah!tusi lilimtoka yule mama ah!!we ku...ma nini tena kwa sauti ya kishari kweli, nilibaki nashangaa, means hawaithamini huku wameibeba.
 
Ndo maana watu walokulia vijjn huwa hawana maneno mengi

Kuna mshikaji wetu mmoja alituhadithia kuwa Musoma vijijini ukikosea njia ukamtukana mtu mzima tusi lolote lile kinaitishwa kikao cha wazazi wako wote(kama wapo),mwenyekiti wa kijiji na watu wazima kadhaa na adhabu unapewa!
 
utakuta watukanana wewe wa. to. m.bwa nini, hapo mwanamke anamwambia mwanamke mwenzake; najiuliza kumbe hiki kitendo ni kashfa mbona wanakifanya
 
Mwalimu wao alishafariki na alikuwa kipofu.
 
Nadhani imekuwa ni kama swala la kawaida tu kuckia mwanamke anamtukana mwanamke mwenzake eti we K*MA NINI...au unackia wanatolea mfano kwa kusema "huyu kaka nae ana mambo ya kike"......Kuna cku niliwahi kumckia mama mmoja anamtukana mtoto wake wa kiume eti we nae unajilegeeeeeza utafikiri mwanamke....

Sasa hapo ndo nabaki najiuliza ina maana wanawake mna mambo ya hovyo tu hadi kufikia kujilinganishia mambo ya hovyo hovyo?

Mkuu, wanawake ni viumbe tu. Naukiwachambua sana utakuta wanamakosa mengiii.....
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana, hawajielewi . mtu kaenda shule pengine ni degree holder lakini mambo anayofanya huwezi amini. Kuna dada mmoja tulikuwa tunasoma darasa moja chuo yeye hasomi kazi yake kujipodoa tu mawanja tu halafu anatuambia wanaume someni mi mwenzenu nikirembua tu mwl anatamani mzigo , akitamani mzigo najiachia . na walimu walishamjua basi wakawa wanamgonga kweli miti . lakini amemaliza kwa alama za chupi amepata kazi nzuri.
 
kuna mmoja alimtukana mtoto wake k..u..m. .a ya bibi yako. halafu mamamkwe wake yupo hapo. kilchofuatia ni kesi mpaka ndoa imevunjika.
 
Back
Top Bottom