Uliathirika kisaikolojia ulipoumizwa, ndo maana unawashangaa wenzako leo, hata hivyo unajifariji tu, kuumia kuko palepale, sema maumivu yanakuwa ya kiwango cha chini ukilinganisha na ulivyoumizwa 2013, au umeondoka katika ubinadamu yaani unakuwa na mpenzi /mke lakini humpendi na lengo lako umuumize wewe, utakufa ukiwa na dhambi nyingi sanaTangu nilipoumizwa mara ya kwanz Na ya mwisho 2013 cjawah kuumizwa tena.kwann watu wanapenda tena with so much love kulko Ile previous afu wanakuja kuumia tena yan unakuta mtu analia katika relationship hata nne.
Hakika! Kuumia katika mapenzi ni sawa na ajali kazini. Maisha lazima yaendeleekila kuumizwa kuna viwango vyake, ukiona hujaumia kabisa hata kidogo ujue basi ulishapoteza sifa ya kibinadamu,
Tunachojitahidi kufanya ni kupunguza kiwango cha maumivu ya mapenzi kutoka maumivu ya miezi au miaka kadhaa na kuwa maumivu ya dakika kadhaa au masaa ama siku kadhaa tu.
kabisa best yangu, na kupenda lazima kuwepo tu hadi mwisho wa dahari ila jambo la msingi ni kupenda kwa akili.Hakika! Kuumia katika mapenzi ni sawa na ajali kazini. Maisha lazima yaendelee
Kuna wakati huwezi kupenda kwa akili maana mapenzi ni upofu, unajikuta ushazama penzini pasipo kujali yawezayo kujitokeza mbele ya safari.kabisa best yangu, na kupenda lazima kuwepo tu hadi mwisho wa dahari ila jambo la msingi ni kupenda kwa akili.
Duuh unapenda mzima mzima! hongera sana kwa wanawake au wanaume wa aina hiyoKuna wakati huwezi kupenda kwa akili maana mapenzi ni upofu, unajikuta ushazama penzini pasipo kujali yawezayo kujitokeza mbele ya safari.
Hatustajili pongezi bali kupewa pole. Maana huwa tunaishia kuumia tuDuuh unapenda mzima mzima! hongera sana kwa wanawake au wanaume wa aina hiyo
poleni best yangu lakini kupenda lazima kuwepo tuHatustajili pongezi bali kupewa pole. Maana huwa tunaishia kuumia tu
Asante!poleni best yangu lakini kupenda lazima kuwepo tu
Ni lazima Safari ianze ndipo ujue unakoelekea kuna umbali ganiKuna wakati huwezi kupenda kwa akili maana mapenzi ni upofu, unajikuta ushazama penzini pasipo kujali yawezayo kujitokeza mbele ya safari.
KabisaNi lazima Safari ianze ndipo ujue unakoelekea kuna umbali gani
Amina,Asante!
Ni kweli kupenda lazima kuendelee maana upendo ndio amri kuu kutoka kwa Muumba.