Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

Mayor ache kuiongopea jamiii ya watanzania wazalendo chakufanya wewe pambana na ukatilii ili jamiii yako au yetu Iwe salamaView attachment 2371456
Vita ya ukatili wa watoto au vulnerable group yoyote sio ya wizara moja tu.

Ili uweze kupambana na hayo mambo inataka joint strategic plan ya kila halmashauri inayohusisha professional wote (walimu, polisi, hospital, ustawi wa jamii, viongozi wa mtaa to name a few).

Hao watu inabidi wawe na team, methods of sharing information, doing investigation, effective team working (kuna inter proffesional working kila muhusika anatamaduni za kufanya kazi kutokana na organization aliyotokea) mazingira kama hayo yana leta proffesional rivalry and so forth.

Kufikia tu hayo malengo unahitaji a lot of investment kwenye it system, training ya wahusika, and consistency kwenye kuchukua hatua na kutoa adhabu. Uwezi kumfunga mtu mmoja maisha kwa kulawiti minor, mwingine apewe adhabu ya viboko sita kwa kosa ilo ilo.

Hiyo ni robo ya vita, robo tatu ni media propaganda na hiyo inataka mtaalamu ambae anaelewa propaganda za west kwenye ku shape national thinking.

Sijasikia bado kiongozi ata mmoja anaeongea right tone ya kuweza kutatua hilo tatizo ata robo wanaunga unga tu.

Intervention ya hilo swala ni complex and propaganda za vitisho ndio silaha kubwa kuliko kitu chochote supported na adhabu kali ambazo ni consistence.
 
Katika hali ya kusikitisha unaita watu wqpumbavu?wajinga? Huwezi kuwa sawa kichwani yani hata aliyemteua umeona afai? Ungeleta hoja yako na takwimu! Kwqnza Kwa taaluma yake na ukatwambia nini amelifanyia taifa? Una mshambilia Ummy pasipo na sababu? Tuambie je aliwahi kufanya hata zoezi mojawapo kubwa ambalo watangulizi wake kwenye hiyo wizara wamelifanya au hata kulinganisha na Prof Sarungi? Lakini bado (Mwinyi/Mkapa)alimtoa kwenye hiyo wizara! Sasa sijui wewe ndo umeamua kujitoa fahamu au ni Wakili msomi? Ila kwa mwandiko na maneno ya Gwajima ya kinywani ni Doroth kabisa! Ila upo bungeni ongelea madhaifu ya wizara kuliko kuja kurusha mateke huku kama punda!. Nilushauri "Aiombwi hivyo" (Wizara)
 
Ni kwa sababu uelewi succession planning hadi kufika nafasi ya ukuregenzi kwenye wizara yeyote.

Subiri bima ya afya ya lazima ndio akili zako zitakuwa sawa.
Kwani aliyenmtoa kt hiyo post ni nani mpaka uje na mipovu yako kibao as if masuala ya kuteua, kuhamisha na kutengua yanafanyukia humu JF??
 
Katika hali ya kusikitisha unaita watu wqpumbavu?wajinga? Huwezi kuwa sawa kichwani yani hata aliyemteua umeona afai? Ungeleta hoja yako na takwimu! Kwqnza Kwa taaluma yake na ukatwambia nini amelifanyia taifa? Una mshambilia Ummy pasipo na sababu? Tuambie je aliwahi kufanya hata zoezi mojawapo kubwa ambalo watangulizi wake kwenye hiyo wizara wamelifanya au hata kulinganisha na Prof Sarungi? Lakini bado (Mwinyi/Mkapa)alimtoa kwenye hiyo wizara! Sasa sijui wewe ndo umeamua kujitoa fahamu au ni Wakili msomi? Ila kwa mwandiko na maneno ya Gwajima ya kinywani ni Doroth kabisa! Ila upo bungeni ongelea madhaifu ya wizara kuliko kuja kurusha mateke huku kama punda!. Nilushauri "Aiombwi hivyo" (Wizara)
We nawe hilo la name calling kwa majumuisho si nilishaomba msamaha kwa wengine waliokerekwa. Besides hiyo address ilikuwa kwa wale waliokuwa wakimpiga majungu na kushangilia kuondolewa kwake.

Otherwise ukitaka kujua how technical she is tafuta video ya ziara yote alipokwenda hospitali ya wilaya Ukerewe.

Unaweza ona ana majivuno kwenye hiyo clip, lakini ukitazama ziara yote alivyowabana maabara na sehemu zingine alizokagua ndio utaelewa sio wa mchezo mchezo kwenye management ya afya.

Mfano maabara alikuta kuna vipimo vimekaa zaidi ya allowed time. Wakajaribu kumuongopea akawabana kwa uzembe wakakosa majibu.

Sasa tafsiri yake ya kile alichobaini kuna magonjwa majibu ya vipimo vina tofauti kati ya kufa na kupona. Mfano una DKA ya diabetes awawezi kujua exactly bila ya kupima damu in the mean time watakufanyia stabilisation ya haraka kama emergency kukutuliza huku wakisubiri vipimo vya majibu ya damu wajue waendelee vipi na wewe. Sasa kama ni DKA na results zikichelewa na muda wako ni on borrowed time bila ya intervention sahihi unakufa kisa uzembe wa watu maabara.

Achilia mbali other medical conditions ambazo madaktari wanasuburia ivyo vipimo waamue tiba yako.

Sasa kuna sample zinakaa mpaka zinakuwa azifahi, unaitwa ukatoe tena; huko sasa si ni maabara kucheza kamali na maisha ya watu.

Ni hivi kumwelewa Dorothy Gwajima kwenye afya inabidi uwe MD au unaufahamu wa health management kuona thamani ya troubleshooting zake. Halafu soon akiingia department nyingine anageuka accountant hapo hapo anakufanyia auditing ukimzingua kukuonyesha amepikwa kwenye hiyo wizara na akaiva.

Ni hivi kujua thamani ya kitu inabidi uelewa ubora wake.
 
Going past my previous post kweli lugha yangu ilikuwa mbaya sana, ata mimi mwenyewe sasa hivi kusoma inanikera.

I can’t edit all the posts, ila niwatake radhi for my ignorance on that day wote mliosoma hizo post za ovyo.
 
Ukweli ni kwamba Dr Gwajima aliondolewa afya na watu wa afya wenyewe. Kwa kuwa amesomea afya na kufanya kazi afya, anaijua wizara ya afya vizuri, kwa hiyo watu wa afya hawakumpenda kwa sababu alikuwa anawaumbua kwa kuonyesha mianya yao ya upigaji. Na kwa kuwa alifanya kazi enzi ambapo upigaji ulikosa tija, basi enzi hiyo ilipoisha ikawa ni muda mwafaka aondoke. Bahati nzuri wakapewa Da Ummy ambaye haijui afya kwa undani, basi watu wa afya wenyewe wanafurahi kwa kuwa wamerudia enzi zile za zamani za wizi, ufisadi na ubabaishaji kama kawa. Jamaa wanakula kwa urefu wa kamba zao bila hofu.
 
Ndio tatizo lilipo serikalini awataki kabisa watu wenye mbinu za kubadilisha culture ya kufanya mambo sahihi.
 
Ndio tatizo lilipo serikalini awataki kabisa watu wenye mbinu za kubadilisha culture ya kufanya mambo sahihi.
Ni kwa sababu culture ya utumishi serikalini kwa sasa imejengwa kwenye msingi wa upigaji, akija mtu kutaka kuibadilisha hiyo lazima atashambuliwa na kupigwa vita mpaka kieleweke. Inasikitisha sana!
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara Afya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa hata Rais, Makamu au Waziri Mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajilinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza mfananisha na Ummy Mwalimu kwenye section ya usimamizi wa sector ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya afya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu Wizara ya Afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah

Nakubali na kuelewa 100%
Sisi hatuamini kwenye specialisation za watu! Shida imeanzia hapo….
 
Ni kwa sababu culture ya utumishi serikalini kwa sasa imejengwa kwenye msingi wa upigaji, akija mtu kutaka kuibadilisha hiyo lazima atashambuliwa na kupigwa vita mpaka kieleweke. Inasikitisha sana!
Wewe na hiyo ID ni mtu mmoja...

Nimekusoma na kujua kwanini mnamshambulia Ummy Mwalimu..
Kuendesha Wizara ya Afya kunahitaji akili na maarifa..
Huyo Gwajima akiwa anaongea kwa kuropoka au kufoka ndio unaona ni mtendaji.. Kuongea sana ni tofauti na utendaji...

Mtoa mada namjua... Ametumbuliwa mwezi uliopita katika department moja ndani ya MUHIMBILI baada ya uchunguzi wa Wizara ya Afya na kubaini uonevu alioufanya kwa watumishi wa chini yake..

Amewatengenezea kesi za wizi makusudi watumishi..
Wizara ya Afya imemshusha cheo hapo Muhimbili.. Anakuja kumlalamikia Ummy Mwalimu kwa ujinga wake mwenyewe wa kutengenezea watu kesi ili apate cheap popularity ndani ya hospitali..
 
Dorothy Gwajima takataka. Yaani anajifukiza on camera kutibu COVID19. Ameinajisi taaluma ya udaktari. Hafai kuwa ofisini hata dakika tano.
 
Ona sasa, mwenye duka dogo la dawa aondoke ampishe mwenye pharmacy. Hekima ni kumwambia mdogo aboreshe duka na sio kuondoka. Ataondoka mwenyewe akishindwa biashara au vigezo.
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara Afya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa hata Rais, Makamu au Waziri Mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajilinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza mfananisha na Ummy Mwalimu kwenye section ya usimamizi wa sector ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya afya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu Wizara ya Afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Wapigaji wa nchi hii hawapendi mawaziri wa aina ya Dorothy Gwajima.

Wanataka mawaziri wasioelewa kile wanachokisimamia ili Cartel zao ziendelee kutunyonya.
 
Kwa nini wizara ya afya awe Gwajima tu? Kule bungeni kuna mabingwa wa afya kumzidi huyo Gwajima wako, sijui ni mama yako, dada yako au mke wako! Naona unahangaika naye sana hadi kiswahili chako ulichoandika humu ni hovyo sana! Gwajima si anayo wizara, shida ni nini hapa? Kama ni mtaalamu sana basi arudi hospitali akasimamie masuala ya wagonjwa na kuwatibu! Usilete pumba zako hapa!
Wewe kwa povu hili utakuwa kuna mahala unayo maslahi binafsi sio bure.

Maana wizi w dawa mahospitalini ulikwisharudi kwa kasi ile ile.
 
Back
Top Bottom