Wizara ya Afya: Msifanye mzaha na ushauri wa Dkt. Janabi

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
277
548
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi na kwamba wasifanye mzaha na ushauri unaotolewa na wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi, kwani hata zikijengwa hospitali 100 kama Saifee bila kubadili mtindo wa maisha hazitatosha.

Ummy, ameyasema hayo eo Februari 18, 2024, kwenye uzinduzi wa Hospitali ya Saifee, iliyopo Jijini Dar es Salaam, iliyozinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

“Hata kama tutajenga hospitali 100 kama hizi za Saifee tusipobadili mtindo wetu wa maisha hospitali hazitatosha tusifanye mzaha na ushauri tunaopata kutoka kwa wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi.” Alisema Waziri Ummy.

Sosi: Itv insta
 
"Hata kama tutajenga hospitali 100 kama hizi za saifee tusipobadili mtindo wetu wa maisha hospitali hazitatosha tusifanye mzaha na ushauri tunaopata kutoka kwa wataalamu wa afya akiwemo Dkt Janabi" - Waziri wa Afya.

Sosi: Itv insta
Huyu jamaa ni hazina haswa haswa! Nashukuru mafunzo yake yapo youtube na hata akiwa hayupo vizazi vyetu vitanufaika nayo!
 
watz kwa kiasi kikubwa hatujihisi kama tunawajibika kulinda afya zetu.

kuna wakati unaenda bar unakuta jamaa amekalia kiti kiasi kwamba amejaa kiti kizima yani unaona kabisa kiti hakimtoshi kwa unene wa mwili na hapo ukute ana bonge la kitambi au nyama kibao za tumbo kama za yule msanii msechu ama hata kuzidi

lakini sasa ukiangalia anachokula hapo mezani ndo unachoka zaidi.

unakuta mwenyewe kajaza minyama kibao mwenyewe anadai anasosomola. wkt mwingine unajiuliza mtu kama huyo anatafuta nini kwenye vyakula kama ivyo vilivyojaa mafuta kibao. halafu mtu huyu akikata moto ghafla utasikia watu wanaanza ooh eti mungu alimpenda zaidi
 
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi na kwamba wasifanye mzaha na ushauri unaotolewa na wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi, kwani hata zikijengwa hospitali 100 kama Saifee bila kubadili mtindo wa maisha hazitatosha.

Ummy, ameyasema hayo eo Februari 18, 2024, kwenye uzinduzi wa Hospitali ya Saifee, iliyopo Jijini Dar es Salaam, iliyozinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

“Hata kama tutajenga hospitali 100 kama hizi za Saifee tusipobadili mtindo wetu wa maisha hospitali hazitatosha tusifanye mzaha na ushauri tunaopata kutoka kwa wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi.” Alisema Waziri Ummy.

Sosi: Itv insta
Vitu vingi anavyoshauri Janabi ni impractical...na yeye anajua..hata yeye mwenyewe hafanyi hayo anayosema.
Anajulikana anapenda attention na cheap popularity...
Isitoshe hawa wawili ni watu wa karibu mdio maana amemtaja yeye...
Yote kwa yote tufuate maelekezo sahihi ili kujilinda na magonjwa yasiyoambukiza na sio maneno maneno tu..
 
watz kwa kiasi kikubwa hatujihisi kama tunawajibika kulinda afya zetu.

kuna wakati unaenda bar unakuta jamaa amekalia kiti kiasi kwamba amejaa kiti kizima yani unaona kabisa kiti hakimtoshi kwa unene wa mwili na hapo ukute ana bonge la kitambi au nyama kibao za tumbo kama za yule msanii msechu ama hata kuzidi

lakini sasa ukiangalia anachokula hapo mezani ndo unachoka zaidi.

unakuta mwenyewe kajaza minyama kibao mwenyewe anadai anasosomola. wkt mwingine unajiuliza mtu kama huyo anatafuta nini kwenye vyakula kama ivyo vilivyojaa mafuta kibao. halafu mtu huyu akikata moto ghafla utasikia watu wanaanza ooh eti mungu alimpenda zaidi
Ha ha ha hapa pembeni yangu kuna jamaa anapiga supu yake na chapati ni kibonge fulani jasho linamtoka 🤣🤣
 
watz kwa kiasi kikubwa hatujihisi kama tunawajibika kulinda afya zetu.

kuna wakati unaenda bar unakuta jamaa amekalia kiti kiasi kwamba amejaa kiti kizima yani unaona kabisa kiti hakimtoshi kwa unene wa mwili na hapo ukute ana bonge la kitambi au nyama kibao za tumbo kama za yule msanii msechu ama hata kuzidi

lakini sasa ukiangalia anachokula hapo mezani ndo unachoka zaidi.

unakuta mwenyewe kajaza minyama kibao mwenyewe anadai anasosomola. wkt mwingine unajiuliza mtu kama huyo anatafuta nini kwenye vyakula kama ivyo vilivyojaa mafuta kibao. halafu mtu huyu akikata moto ghafla utasikia watu wanaanza ooh eti mungu alimpenda zaidi
WaTz ni limbukeni wa kila jambo, na tunashadadia yote yanayotuathiri.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Siasa zinapoingia kwenye matatizo halisi.kuna siku daktari atasema kuangalia Tv kunaumiza macho. The next day wizara ya nishati itakuja na tamko kuupongeza mgao wa umeme.
Uhaba wa sukari unapopigiwa chapuo na wizara ya afya.
 
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi na kwamba wasifanye mzaha na ushauri unaotolewa na wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi, kwani hata zikijengwa hospitali 100 kama Saifee bila kubadili mtindo wa maisha hazitatosha.

Ummy, ameyasema hayo eo Februari 18, 2024, kwenye uzinduzi wa Hospitali ya Saifee, iliyopo Jijini Dar es Salaam, iliyozinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

“Hata kama tutajenga hospitali 100 kama hizi za Saifee tusipobadili mtindo wetu wa maisha hospitali hazitatosha tusifanye mzaha na ushauri tunaopata kutoka kwa wataalamu wa Afya akiwemo Dkt. Janabi.” Alisema Waziri Ummy.

Sosi: Itv insta
Who is Janabi?
Yeye ndiye mwenye funguo ya maisha yetu?

Aendelee kuwapangia wajinga wajinga
 
Huyo mtaalamu naye anatakiwa ajikite zaidi kwenye kutoa tu elimu, tena pale inapobidi. Masuala ya kutisha watu aachane nayo. Maana hata yeye mwenyewe na kufuata kwake masharti, bado hataishi milele.
 
watz kwa kiasi kikubwa hatujihisi kama tunawajibika kulinda afya zetu.

kuna wakati unaenda bar unakuta jamaa amekalia kiti kiasi kwamba amejaa kiti kizima yani unaona kabisa kiti hakimtoshi kwa unene wa mwili na hapo ukute ana bonge la kitambi au nyama kibao za tumbo kama za yule msanii msechu ama hata kuzidi

lakini sasa ukiangalia anachokula hapo mezani ndo unachoka zaidi.

unakuta mwenyewe kajaza minyama kibao mwenyewe anadai anasosomola. wkt mwingine unajiuliza mtu kama huyo anatafuta nini kwenye vyakula kama ivyo vilivyojaa mafuta kibao. halafu mtu huyu akikata moto ghafla utasikia watu wanaanza ooh eti mungu alimpenda zaidi
Nyama tu si afadhali....kuna ile wanaita nundu watu mabonge wanaipenda sana
 
Back
Top Bottom