Nashangaa wabongo wanaowashobokea wayahudi

Status
Not open for further replies.

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
hawa majamaa, Jews, Hebrews, Mayahudi, Waisraeli ni wanajiona wapo special sana, hasa kutokana na zile story za kwenye vitabu vya dini, ambazo zinawaonesha ni watu "special" sana na waliopendelewa na Mungu (Mungu huyuhuyu watu wanaosema yupo fair na hana upendeleo) na wabongo wengi hasa wakristu wafia dini wanawashobokea sana
lakini kitu ambacho hawajui hawa jamaa kwa ubaguzi ndio kama no.1, wanachowafanyia raia wasio na asili ya Israel kinathibitisha hilo hebu someni hii
The plight of Ethiopian Jews in Israel - BBC News
The tribulations of being an Ethiopian Jew
Racism in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia
watanzania tujipende na tujithamini wenyewe, tuachane na kupenda tusikopendeka
 
Idadi kubwa ya wanaunga mkono Israel wanaamini Israel ni taifa la kikristo
kumbe Israel Ukristo hautambuliwi

Wengine wanaamini Yesu alikuwa Mzungu....au Wayahudi ni wazungu

basi tu ili mradi watu na imani zao
kwa sababu wametajwa tajwa saana kwenye bibilia mkuu, kumbe sio wakristo wala nini
 
Waswahili wengi ushamba ndo tatizo
mtu unakuta yeye mndengereko mkristo anamchukia mndengereko mwenzie muislam
na kujifanya anawapenda wayahudi na yuko tayari kufa kwa ajili yao
hata hao Wayahudi hawamjui wala kujali wakisikia amekufa kwa njaa au kipindupindu
 
hawa majamaa, Jews, Hebrews, Mayahudi, Waisraeli ni wanajiona wapo special sana, hasa kutokana na zile story za kwenye vitabu vya dini, ambazo zinawaonesha ni watu "special" sana na waliopendelewa na Mungu (Mungu huyuhuyu watu wanaosema yupo fair na hana upendeleo) na wabongo wengi hasa wakristu wafia dini wanawashobokea sana
lakini kitu ambacho hawajui hawa jamaa kwa ubaguzi ndio kama no.1, wanachowafanyia raia wasio na asili ya Israel kinathibitisha hilo hebu someni hii
The plight of Ethiopian Jews in Israel - BBC News
The tribulations of being an Ethiopian Jew
Ubaguzi ni hulka iliyojengeka kwa kila kiumbe si binadamu au wanyama. Ila inafika mahala kwa viumbe wengine wanaamua kukubaliana na kupendana mfano utakuta mbwa na paka wanacheza pamoja kitu ambacho si kawaida.
Sisi Binadamu ni wabaguzi kuanzia kwenye familia. Mfano "wewe mwanamke utaniambia nini? au kaa kimya". Huyu mnyamahanga anasema nini? Wakonongo, wakuija, majina kibao tunayo kuonyesha huyu siyo sawa na sisi.
Tumesikia hata wanasiasa wanahutubia kuhusu ubaguzi hapa nchini oho hawa chotara, mara watu wanawashambulia wahindi. Je Mhindi na myahudi ambaye hatujaishi kwake nani mbaguzi? Wahindi tunaishi nao lakini wana mitaa yao, sehemu zao ambapo wazungu wanakaa sehemu ambazo sote tunaishi kama unaweza. Mzungu anaweza kuoa au kuolewa na mwafrika lakini ni waafrika wangapi wameolewa na wahindi? Inawezekana ni wabaguzi kama walivyo waarabu hiyo ni hulka ya binadamu lakini usihukumu kabila moja. Tembea uone. Nenda India, Indonesia, Russia, Portugal ukirudi linganisha na kutofautisha.
 
Mungu sio kigeukigeu na alisema

"Alaaniwe akulaaniye, abarikiwe anaekibariki".

Sasa tuanzie hapo. Yahudi atabaki kuwa yahudi awe mbaguzi au sio m-baguzi. Suala la waTanzania kujitambua na kuheshimu utaifa wao liko pale pale lakini pia Israel iwe inautambua ukristo au la itabaki kuwa Israel ya wayahudi.
 
May nations serve you and peoples bow down to you. Be lord over your brothers, and may the sons of your mother bow down to you. May those who curse you be cursed and those who bless you be blessed." Genesis 27:29
Suala la Mkristo kumchukia Muislam lina % ndogo sana ikilinganishwa na upande wa pili.
Kutokana huo Mstari ndiyo kitu kikuu Wasrael kinawapa kiburi and mind you hata kama siyo Wakristo ila Biblia kwa nikatiba.
 
Mungu suo kigeukigeu na alisema

"Alaaniwe akulaaniye, abarikiwe anaekibariki". Sasa tuanzie hapo. Yahudi atabaki kuwa yahudi awe mbaguzi au sio m-baguzi. Suala la waTanzania kujitambua na kuheshimu utaifa wao liko pale pale lakini pia Israel iwe inautambua ukristo au la itabaki kuwa Israel ya wayahudi.
wayahudi wamewalemaza sana nyie, wanawafanya kama watumwa wao, they never believed to any prophet, wao dini yao ya kiyahudi ni yao tu, wanawaaminisha eri wap ni taifa teule! Hakika Mungu ametakasika na Upendeleo, kwa Mungu sisi wote ni sawa, thamani yetu itatokana na matendo yetu wala sio utaifa wetu
 
Asishokewe muyahudi, mkristo wala muislamu. Turudi kwenye mapango, miti and whatever. Najua itaishia huko.
 
kote huko mnazunguka makabila yote yenye uweupe yanawachukia watu weusi, wahindi, wazungu,waarabu, wayahudi etc..wote hao hawawapendi watu weusi ila sema wazungu wamejitahidi sana kujificha kwenye ubaguzi ndo maana unakuta wanaoa na kuolewa na watu weusi ....wayahudi ni worse...wabaguzi sana na mtu mweusi hana umuhimu wowote kwao..tembea uone hao wanaowashadadia mayahudi hawawajui na wayahudi sio wakristo!!!
 
Ubaguzi ni hulka iliyojengeka kwa kila kiumbe si binadamu au wanyama. Ila inafika mahala kwa viumbe wengine wanaamua kukubaliana na kupendana mfano utakuta mbwa na paka wanacheza pamoja kitu ambacho si kawaida.
Sisi Binadamu ni wabaguzi kuanzia kwenye familia. Mfano "wewe mwanamke utaniambia nini? au kaa kimya". Huyu mnyamahanga anasema nini? Wakonongo, wakuija, majina kibao tunayo kuonyesha huyu siyo sawa na sisi.
Tumesikia hata wanasiasa wanahutubia kuhusu ubaguzi hapa nchini oho hawa chotara, mara watu wanawashambulia wahindi. Je Mhindi na myahudi ambaye hatujaishi kwake nani mbaguzi? Wahindi tunaishi nao lakini wana mitaa yao, sehemu zao ambapo wazungu wanakaa sehemu ambazo sote tunaishi kama unaweza. Mzungu anaweza kuoa au kuolewa na mwafrika lakini ni waafrika wangapi wameolewa na wahindi? Inawezekana ni wabaguzi kama walivyo waarabu hiyo ni hulka ya binadamu lakini usihukumu kabila moja. Tembea uone. Nenda India, Indonesia, Russia, Portugal ukirudi linganisha na kutofautisha.
....naunga mkono andiko lako ....ubaguzi upo duniani kote siyo israel tu
 
Tofautisha dini na imani,dini ina misingi yake,imani ina misingi yake.Dini ya Uzayuni na Ukristo wana misingi ya kiimani inayofanana mwanzo mwisho.Hivyo huwezi kutenganisha ukristo na uzayuni labda katika matumizi ya bible.Ukristo umegawanyika katika madhehebu na mbalimbali ila yenye misingi inayotofautia mfano waroma na wapentekoste bible wanazotumia zatofautiana kidogo.Dini ya uzayuni bible wanayotumia haitofautiana na ya wapentakosta,waanglikana na kkkt ila Waroma bible yao ni tofauti na hao wote.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tunaibariki Israeli, na Uyahudi, na Sayuni, na Yerusalemu kwa kuwa ndio ilipoanzia Hekima ya kumcha BWANA !

Malkia wa Sheba alipomtembelea Mfalme Sulemani na kuona Hekima hiyo alisema ;
"Kuanzia leo sitoabudu Jua, Nitamuabudu Mwenye Enzi Mungu aliyeliumba Jua"
 
  • Thanks
Reactions: PNC
hawa majamaa, Jews, Hebrews, Mayahudi, Waisraeli ni wanajiona wapo special sana, hasa kutokana na zile story za kwenye vitabu vya dini, ambazo zinawaonesha ni watu "special" sana na waliopendelewa na Mungu (Mungu huyuhuyu watu wanaosema yupo fair na hana upendeleo) na wabongo wengi hasa wakristu wafia dini wanawashobokea sana
lakini kitu ambacho hawajui hawa jamaa kwa ubaguzi ndio kama no.1, wanachowafanyia raia wasio na asili ya Israel kinathibitisha hilo hebu someni hii
The plight of Ethiopian Jews in Israel - BBC News
The tribulations of being an Ethiopian Jew
Racism in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia
watanzania tujipende na tujithamini wenyewe, tuachane na kupenda tusikopendeka

Je katika utafiti wako hujaona jema lao lolote uliseme?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom