hahaaaaaaa, nashukuru sana mkuu, wazungu dini hawana time nazo siku hizi, ila hawa wenzangu na mimi, ni kusaliiiiiiiiiii tu, badala ya kubuni mbinu za kujikwamua, wanamsubiria Mungu aje awatatulie shida zaoHakika hujui chochote kuhusu judaism, pole sana, the jews dont believe kuwa yesu ni true mesiah, hawaamini kuwa ni mwana wa Mungu either, hawaamini utatu wala hawatumii bible unayoijua wewe. Tafuta njia ya kweli usibebwe na mihemko, njoo Europe ushuhudie hali ya ukristo huku, mzigo wa ukristo mmeachiwa kusini mwa jangwa la sahara
Nimekupenda bure aseee,Uhusiano wa Mkristo na Israel hautegemei Ukristo wa Muisrael
Hahahahahha eti kaini hahahahaMsengerema mwenyewe KAINI wewe..
Of coursena wewe utaendelea kusaliiiiiiiii tu, ukimsubiria yesu arudi
Msengerema kweli wewe[/QUOTE
Sure mkuu
Na wewe mwarabu kakufanya nini?.wayahudi wamewalemaza sana nyie, wanawafanya kama watumwa wao, they never believed to any prophet, wao dini yao ya kiyahudi ni yao tu, wanawaaminisha eri wap ni taifa teule! Hakika Mungu ametakasika na Upendeleo, kwa Mungu sisi wote ni sawa, thamani yetu itatokana na matendo yetu wala sio utaifa wetu
Israel siyo Eneo bali ni mtu na uzao wake, nimataifa 12 amboyo yanatokana na uzao wa MTU mmoja lakini Eneo ni Kanaani lenye watoto wa Yakobo na Essau + wageni lakini kwa sababu ya Genesis 27:29 hata wewe unakili kwamba Israel(Yakobo) ni taifa kubwa.Eti atae inenea mabaya Israel nae yatamkuta makubwa
Barikiwa nduguNimekupenda bure aseee,
AminaaaaBarikiwa ndugu
Waisrael walikuwa Taifa teule kabla Yesu hajazaliwa so Yesu habadili Uteule wa Israel bali kuniunganisha Mimi wa taifa lingine na Israel. Unadhani kwanini Marekani na Uingereza wamekuwa nyuma ya Israel?kumbe mnaweza kutomwamini yesu na mkabaki ni taifa teule la Mungu! this is rubbish
Walokole wameshikiwa sana akili, na hii ni mbaya sana, But waolokole wa Kizungu huwezi wasikia wanashabikia Israeli, huku Arusha kuna Redio moja ya dini huwa nasikia eti kuna Sadaka ya Isaraeli yaani Sadaka kwa ajili ya taifa la Isaraeli, yaani ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa,Atakaye ilani Israel nae atalaaniwa! Hii kauli ndo umechanganya sana wakrsto hasa walokole
Wacha kukrem ujinga we we!!!Mungu hakumaanisha Israel ujuayo we we.,hata we we unaweza kuwa wa Taifa teuleMungu sio kigeukigeu na alisema
"Alaaniwe akulaaniye, abarikiwe anaekibariki".
Sasa tuanzie hapo. Yahudi atabaki kuwa yahudi awe mbaguzi au sio m-baguzi. Suala la waTanzania kujitambua na kuheshimu utaifa wao liko pale pale lakini pia Israel iwe inautambua ukristo au la itabaki kuwa Israel ya wayahudi.