Nashangaa Rais Samia kuteua Boss mpya UDArt tena

Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.

Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.

Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.

Uteuzi bora na wa kupongezwa
 
Udart ina shida ya mabasi ila Raisi analeta Maboss tu ila magari hanunui , Rc Tanga baada ya kuondilewa kaja kupewa Uboss Udart

Nimejiuliza sana huu uteuzi ni wa kusaidia wananchi au mtu kawekwa tu kupooza machungu, hii ndio Tz
ni katika kuimarisha na kuisuka serikali ili iweze kua na tija zaidi na kuchochea ufanisi na ubora wa huduma kwa wanainchi 🐒

so,
uskue na wasi kama utabiri au tamaa yako imekwenda ndivyo sivyo dhidi ya fikra za Comrade Rais Dr SSH,

tunakwendra vizur, atatuvusha salama
 
Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.

Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.

Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.

Uteuzi bora na wa kupongezwa
Aliisaidia TTCL ipi hasa unayoizungumzia? TTCL pamoja na kumiliki mkonga wa mawasiliano bado imeshindwa vibaya na makampuni ya simu kama voda, airtel etc
 
Bila kuongeza bus za kutosha hapo hakuna Ufanisi wowote hapo...
Yaani dawa ni moja tuu kumpa mwekezaji serious kama Bakhresa aendeshe hiyo UDART na serikali iwe tuu inapokea kodi zake... Short of that hata walete malaika ni kazi bure
 
Pale Dart shida ni mabasi machache, wanatakiwa waongeze basi 700
Plus proper management, bila hilo hata mabasi yawe 1000 ni bure. Imagine mabus ni mabovu hawatengenezi je pesa wanapeleka wapi? How come investment ya serikali inashindwa kuendesha kampuni lakini private company kama ABOOD BUS, ABC UPPER CLASS BUS, BM BUS and many others zinaweza si tu kukarabati mabus but wananunua fleet Mpya Mpaka za Scania na daily magari yako barabarani.
 
Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.

Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.

Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.

Uteuzi bora na wa kupongezwa

TTCL hii ambayo imeshafutika katika mashirika ya kutoa huduma za mawasiliano
Walipewa mkongo kwa miaka mingi ambao unaweza kukusanya kodi za mabilioni wapo wapo tu?
huku tunaendelea kukimbizana na wamachinga walipe kodi......
 
Yaani dawa ni moja tuu kumpa mwekezaji serious kama Bakhresa aendeshe hiyo UDART na serikali iwe tuu inapokea kodi zake... Short of that hata walete malaika ni kazi bure
Pana jamaa wana % zao hapo ndio maana huo mradi unasua sua sana kuwekeza hapo sio lazima Tajiri saana hata hawa wa Ma bus wa mikoani wakipewa tutasahau hiyo kazi haina mshindani unapataje hasara haina Tochi wala faini yeyoye hawa wahuni wanashindwa kuendesha kwa sababu huo Mradi ni wa watu ila kwenye makaratasi inaonekana na Serikali ina Mkono..
 
Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.

Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.

Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.

Uteuzi bora na wa kupongezwa
Shida wa machawa kusifia kitu ambacho hakipo,ttcl amefanya lipi huyo kilaza wako..acha kula ugoro
 
Kusoma alama za nyakati ni kuzuri sana, UDART ilikuwa inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kwenye masuala ya uwekezaji, uendeshaji na uongozi na sifa hizo zote kindamba anazo.

Waziri kindamba akiwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL alisaidia kulipa matumaini shirika na zaidi aliinga TTCL akitokea kwenye taasisi za benki hivyo ana uwezo mzuri katika kukuza mitaji na uwekezaji.

Naamini atasaidia vya kutosha kuwezesha mamlaka kusonga mbele Kwa kuongeza uwekezaji na kusimamia uendeshaji Kwa faida zaidi.

Uteuzi bora na wa kupongezwa
Hizi akili hizi. Mungu wa Mbinguni aturehemu.

Kindamba aliisaidiaje TTCL? Shirika ambalo hata halijitambui linataka liweje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom