Nashangaa Rais Samia kuteua Boss mpya UDArt tena

Nashangaa Rais Samia kuteua Boss mpya UDArt tena

Kumbuka huyu jamaa anaendelea kulipwa mshahra kama aliokuwa akilipwa Bank private , alipoamia TTCL serikalini Kwa kuwa ndio serikali walimtaka obviously alitaka mshahara mkubwa zaidi...TTCl akakunja mshahara mnono...alipopewa ukuu wa mkoa akahama na mshahara wake wa ttcl now yuko Udart kama kule mshahara ni mdogo obviously atalipwa mshahara kama aliokuwa akilipwa TTCl...
Your point?
 
Back
Top Bottom