babu naye kaamua kuhamia airtel -- kazi kweli kweli kwa ccm.Kamanda wa police na Kamanda wa Chadema hapo sasa
Babu naye ni kamanda
![]()
Hapo sasa kuna sisiemu kubaki kweli????????babu naye kaamua kuhamia airtel -- kazi kweli kweli kwa ccm.
Kila mbunge ana haki ya kupigiwa saluti...
![]()
Kamanda wa police na Kamanda wa Chadema hapo sasa
Babu naye ni kamanda
![]()
Kwangu mimi huyu kamanda wa polisi ni shujaa katika taifa hili na anaonyesha jinsi alivyomuungwana kwenye maamuzi ya watanzania wenzie maana mbunge ni zaidi hata ya mkuu wa mkoa anayekuja kwenye kuongoza watu kama jini hajulikani anakotoka wala aendako zaidi ya kubinya demokrasia SAFI SANA ACP wangu hapo upo juu na mungu atakusaidia utakua IGP majambazi yakishatimuliwa maCCM haya
mkuu uko wapi acha hiyo salute kuna present-arms mbunge anastahili vyote hivyo.
Wasije wakamfanya kama "Mwanajeshi wa Lema!"
Kila mbunge ana haki ya kupigiwa saluti...
Kusema Mbunge ni zaidi ya Mkuu wa mkoa ni ishara kuwa watanzania wengi ni mambumbumbu na hawana elimu ya uraia
Kusema Mbunge ni zaidi ya Mkuu wa mkoa ni ishara kuwa watanzania wengi ni mambumbumbu na hawana elimu ya uraia