Nasari, Atashusha bei ya Sukari!

mbona baba mwanaasha alitudanganya

maisha bora kwa kila mtanzania hamkuja

na thread ya kumuuliza atafanyaje kwa kila

mtanzania awe na maisha bora?
 
jamani huyu mgombea wa chadema, nimemsikiliza sasa hivi kupitia tbc analeta mambo kama ya slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa ccm, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? Ana mashamba ya miwa? Ana viwanda vya sukari? Atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.

badili jina lako ujiite nuclear....that is the best
 
Mleta mada uko kwenye club ya Piwa!
Mume wako aliposema kuwa ataleta maisha bora kwa kila Mtanzania alieleza atayatoa wapi?
Acha kuwaza kwa upeo wa pua yako wewe kidakuz!
hanywi huyo ni mdada mmoja mstaarab kweli ukimuona sema anafadhiliwa na magamba kwa kila kitu
 
Acha hoja za kitoto wewe,wananchi wa Tanzania kupunguziwa mzigo wa gharama za maisha inawezekana siyo sukari tu,serikali iondoa matumizi ya anasa na mikataba mibovu,
 
Mleta mada uko kwenye club ya Piwa!
Mume wako aliposema kuwa ataleta maisha bora kwa kila Mtanzania alieleza atayatoa wapi?
Acha kuwaza kwa upeo wa pua yako wewe kidakuz!
Hizi ndio siasa zenu za matusi na kejeli tu, badala ya kujibu hoja.
 
Back
Top Bottom