Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,703
Kwa wanachama wote (Chama Cha Mabachela wa JF).
Kupitia Kwa Mlezi Wa Chama babu Asprin.
Natangaza mapema kabisa kuwa mimi Katavi nikiwa na akili timamu, nitajitoa kwenye chama hiki ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Ninatangaza mapema ili msiponiona katika vikao vya chama basi mjue nipo katika chama pinzani nikipitia sheria na kanuni zao (chini ya uangalizi wa FirstLady1 na wenzake) kabla sijapokelewa rasmi.
Ila sijajitoa bado kwa hiyo mwenyekiti na katibu wa chama msinitenge, nategemea tutaendelea kushirikiana mpaka siku nitakaporudisha rasmi kadi ya uanachama.