Nasaka Secreatary . . . .

Kongosho wewe unafuata magari ya kifahami
mimi nafuata mapenzi
si unaona tofauti yetu.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 umechangia sana kwenye vunjiko la ndoa yangu na yule nduguyo
ujue lazima nitaweka misumari njia unayopita usiku na ile volvo yako
nihakikishe umelala porini
na lazima uliwe na chui watu.

Hahaahaaaa
Nimecheka sana comment ya Bishanga dah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom