mirymicaiah605
Senior Member
- Apr 6, 2014
- 107
- 17
Can i get a hubby material?coz i heard good man are,already taken,other are not yet born other are dead and gone so tell me are they existing???
can i get de material guy humu ndani????
Haki ya nani ngoja waje
Nimeshakuja ila kwa ajili yako,wewe si material girl?
Can i get a hubby material?coz i heard good man are,already taken,other are not yet born other are dead and gone so tell me JF can i get de material guy humu ndani????
Mi material woman bana sio gal ndio kidudu gan kwanza hata kwenye dictionary alipo lol
Kwahiyo unataka kusema mleta uzi kimempitia kando kile kilicholetwa kwa ndege? Maana mimi nime copy and paste
Yan tena kimempita kushoto uyu unazana ana utofauti na yule wa I find serious gal.....wanakuja kutufurahisha tu umu jamvin mtu ka awez andika kiingeleza si hata kiswahili kipo au kuna sehem imeandikwa lazma waandike kiingeleza umu...
Hahahaaa yule ndio kiboko zaidi.Kutukojua kama hujui ni tatizo,yeye anaona yupo sahihi ndio maana hawezi fikiria kuandika kiswazi,halafu hili si jukwaa la great thinkers jamani so lazima umwage ung'eng'e kidogo ili uonekane upo
Mie kwenye post zang sijawah andika english coz naeza ona npo perfect kumbe nmeandka madudu aka mie full kiswahil atakaeniona cjasoma au mi sio great thinker atajijua.....
Ndio maana ukaitwa tumboo,maana huna makuu.
Umeona ehneee mie snaga makuu kabisa
Katika hilo maweza kujihakiki kuwa wewe ni material gal oops!! Material woman,nimeteleza kidogo hapo.
Haki ya nani ngoja waje
Mie kwenye post zang sijawah andika english coz naeza ona npo perfect kumbe nmeandka madudu aka mie full kiswahil atakaeniona cjasoma au mi sio great thinker atajijua.....