umefuata nn huku?
hivi neno perfect ni la kiswahili?
Umeona ehneee mie snaga makuu kabisa
Kiswahili chenyewe naona kama kinascrach vipi au ulipo kuna miti mingi ukiongea na miti inabroke network.
Embu ongea chako ambacho akiscrach tuone.....hongera kwakujua kiswahil vizurii
Asante! Mimi najua zaidi kinyambo kilugha changu. Sorry ata usikwazike just to provoke you nione unajiamini kiasi gani.
Yan nianze tu kukwazika na mtu nisie mjua???
Maana naona kama unapanic vile! Calm down tumboo wetuuu!
Mie nkipanic unazan nashikikaga??
Can i get a hubby material?coz i heard good man are,already taken,other are not yet born other are dead and gone so tell me are they existing???