Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,605
- 109,231
Rubbish." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huu ni upumbavu" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Ikaja ikatokea anko akamsapoti CAG naona utabilisha gia angani" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Huu ugoro kuleni wenyewe huko Lumumba" Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
Upumbavu mtupu...!! Kuelimika ni kile kinachobaki kichwani baada ya miaka ya masomo, inawezekana Kitila aliviacha vyote kwenye Course Work na Assad alibaki na ujuzi wa taaluma yake kichwani." Unapowasiliana ni muhimu kukumbuka kuwa wapo watakaosikia ulichokisema na wapo watakaosikia ambacho hukukisema. Hakuna ubaya kuomba msamaha kwa kile ambacho mtu alikwazwa nacho alichokisikia japo hukukisema maana huwa tunaomba msamaha kwa kukosea bila kukusudia"
By Kitila Mkumbo
CAG anaelewa alichomaanisha ndio maana amesimamia msimamo wake.#Only GOD can mute CAGAmsuport kama bunge ni dhaifu?unaelewa maana yake?Bunge dhaifu maana yake livunjwe does CAG understands that?