Nasa hao!

Uhuru ni nani,Rao ni nani,

Hawa ni wasanii ama?
Mi mavitu ya Kenya sijuagi ila wakenya wanajua ya Tz,
Loool
 
Na jinsi Magufuli anavyomminya Lowassa indirect touching Masais' welfare itakuwa ujinga wa hali ya juu kumpa rafiki wa Magufuli kura
Kwani ulisikia wamasai wa Kenya ndowalipiga kura pia Tanzania?? Nahisi bado kichapo aluchopata lowasa kinakuumiza sana.
 
Back
Top Bottom