Narumu village in Kibosho

Narumu village in Kibosho

View attachment 91855
When i met these little boys at a village called Narumu in Kibosho (Kilimanjaro Region) and asked them about who they wanna be in their future;the first one told me he wanna be a doctor,second one police,third one Engineer and fourth one a Teacher. But when am trying to look to the environments which they are living,studying and even socializing i get a doubt if they will be able to achieve their DREAMS and have a GOOD LIFE which they deserve. CORRUPTION,POOR EDUCATION,SELFISHINESS,etc....<wbr>........WE NEED TO CHANGE.
Tarafa ya Kibosho ni kubwa ila hili eneo la Narumu lipo a little bit behind other areas of Kibosho.
Ujumbe wako ni muhimu sana kwa watawala kuuzingatia,
 
Mwambie apunguze mbinyo na sisi tupate nafasi.

hahahaaa sawa mkuu! lakini la muhimu zaidi ni kujifunza lugha jamani....mambo ya kuja kuudhiana mitandaoni kisa lugha mbovu ni aibu! manake hata uandishi wa kiswahili tu ni balaa.....unakuta ujumbe unaeleweka kwa mashaka!!!
 
Kajifunze kiingereza weweeee

Tunawafahamu ninyi sister do kujidai wazungu na ndo maana huku mmetuma application za kuolewa na wazungu wazee.
Tunatamani kama tunge- ichukua theme ya thread kuliko kuangalia structure. English is not even our second language, its third( ya kwanza ni Mother tongue, ya pili Kiswahili na ya tatu kiingereza) Mimi mtanzania nitamshangaa akikosea kiswahili na si kiingereza unless tumekuwa brain washed na UZUNGU KAMA WEWE!!!
 
hahahaaa sawa mkuu! lakini la muhimu zaidi ni kujifunza lugha jamani....mambo ya kuja kuudhiana mitandaoni kisa lugha mbovu ni aibu! manake hata uandishi wa kiswahili tu ni balaa.....unakuta ujumbe unaeleweka kwa mashaka!!!
Mbona kama unataka kukwepesha mada bhana?
 
Nasikia wa narumu(wa chaga wanaotoja huko) wako nyuma sana kielimu na kimaendeleo.
 
NARUMU jamani si kibosho hii iko Wilaya ya Hai ila kuna mchanganyiko wa lafudhi ya Kimachame na Kikibosho. Kijiji cha Tela ndicho kimepakana na Lyamungo Sinde na hapo utakuta lafudhi ya lugha inabadilika ghafla. Kwa sisi tulizaliwa na kusomea maeneo ya vijiji vya jirani na Narumu tunaona mabadiliko makubwa sana kwani eneo la Narumu lililokuwa nyuma kielimu na kimaendeleo linapiga hatua kubwa sana kutokana na kuwa na wasomi wengi.

Hii picha pamoja na kuwa ni ya Narumu lakini bado Narumu ninayoifahamu sasa iko juu sana na kama kuna watoto wanamna hiyo ni wachache sana kulinganisha na kule Mwamapuli mpanda, Kaoze, Sakalilo,Zombana na mgazini(Ruvuma), sindeni, Bungu(Korogwe), maeneo ya Rugu kule Karagwe n.k
 
Kwa nini usianzishe uzi wako wa kufundisha kiingereza? Mnaharibu mada nzuri kwa kujifanya mmezaliwa U.K
Yeye mwenyewe toka aingie humu sijawahi kumuona akileta uzi kwa hiyo lugha anayocheka uzi wa mwenzake.

Ni ukoloni mamboleo tu unamsumbua huyo, mbona wenzetu wachina wameendelea pasipo kusujudia hilo lilugha la Kikameron Kameron.
 
First, you should keep in mind that the first-person pronoun ''I'' has to always be capitalized.

Badala ya ile post ya kwanza ulitakiwa unzie hapa
Kama ndiyo hivi basi hata mleta mada alikuwa sahihi katika "spelling" zake ni suala la "typing errors", hata huyo aliyejaribu kumkosoa alikuwa sahihi japo ni suala lile lile la "typing errors".

Ila wewe hapo kwenye rangi ya blue, tuite makosa ya kiuchapaji au kiuchapishaji au makusudi? Maana sipati picha kama na wewe hujui kiswahili.

 
Back
Top Bottom