Narumu village in Kibosho

Narumu village in Kibosho

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
2013-04-10 12.24.09.jpg
[h=5]When i met these little boys at a village called Narumu in Kibosho (Kilimanjaro Region) and asked them about who they wanna be in their future;the first one told me he wanna be a doctor,second one police,third one Engineer and fourth one a Teacher. But when am trying to look to the environments which they are living,studying and even socializing i get a doubt if they will be able to achieve their DREAMS and have a GOOD LIFE which they deserve. CORRUPTION,POOR EDUCATION,SELFISHINESS,etc....<wbr>........WE NEED TO CHANGE.[/h]
 
Inglishi is bad for Swahili pipo.
Try again leta.
Narumu napita kila siku nikienda Takri nilitokea kwenye shamba la Muisrael.
Nakukumbuka sana Eninka John Mndolwa
 
Tulioenda shule na kufuta ujinga tumekuelewa, ujumbe umefika achana na mafisadi wanaojaribu kuukwepa ukweli iko siku watavikimbia vivuli vyao.
 
Hao wanaokosoa English iliyotumika hapo badala ya kufuata ujumbe uliomo wana ajenda zao, na pengine ndiyo wale kula kulala ndani ya magari ya shule za akina Lwakatare. Wanajifanya kujua sana lugha ya watu wakati hao wenyewe wazungu lugha yetu wanaidharau.

Hao ni watumwa tu kama walivyo watumwa wengine popote pale duniani. Period!
 
Ungeandika hata hicho kichaga cha kibosho cha kinarumu kilichochanganyikana na kimachame tungekuelewa
 
Wewe unakijua au unajishaua tu hapa!
grafani11 msamehe bure.

Ninaamini katika kurekebishana lakini turekebishane kwa nidhamu. Katika lugha ili ujumbe uweze kufika vizuri mambo mengi yanantizamwa. Tusaidiane tu kuwekana sawa kistaarabu!

Hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
grafani11 msamehe bure.

Ninaamini katika kurekebishana lakini turekebishane kwa nidhamu. Katika lugha ili ujumbe uweze kufika vizuri mambo mengi yanantizamwa. Tusaidiane tu kuwekana sawa kistaarabu!

Hujambo lakini?
Mimi mzima wa afya, Shemeji hajambo?
 
Last edited by a moderator:
Still watu wanalialia na wanaotoka "Kaskazini".......thats where Narumu is anyway!
 
Kajifunze kiingereza weweeee
Mkuu Radhia Sweety, nampongeza mleta mada kajitahidi sana na hii lugha ya wageni.Si ujajua Kiingereza is our fourth tongue, tuanze na Local venacular ya wazazi wote wawili (two indigeneous languages here), halafu Kiswahili our national Language and fourth kizungu tumejifunza mashuleni primary kidogo sana kwa wale tuliosoma shule Kayumba kizungu and unfortunate it is a medium of instruction in Secondary and higher learning (ni kwa nini hapa tusiwe na broken english -mhhhhhhhhhhhhhhhhh) hata kunyoosha sentensi hatujui. So kwa mantiki hii usimseme sana huyu mleta mada.
 
Back
Top Bottom