Hiyi nayo ni post!!!!!
heading ni tofauti na post!!!
.... Mbona Iko Sawa, Ccm Ndo Majambazi, Hujui?
Hiyi nayo ni post!!!!!
heading ni tofauti na post!!!
Hiyi nayo ni post!!!!!
heading ni tofauti na post!!!
Huyo jamaa anaishi humo humo ndani ya danguro
Tatizo lako ni gongo hadi imekubabua midomoHii jambo sasa nimenikela sana, na kila siku na lalamika kwamba hiyo tabia waache lakn hawaachi,
chama cha majambazi(ccm) wamenichafulia ukuta wa nyumba niliyotumia garama zangu na kupaka rangi lakn kila siku wanabandika mabango yao, je? wana jf naruhusiwa kuwafungulia kesi mahakamani.
Kwamd wao wanakamata majambazi??