Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
"Hivi mtu unaanzaje kumpenda mtu kwa haraka hivyo"?Hivi Mtu unaanzaje kumpenda Mtu Kwa haraka hivyo? Unajua historia na tabia zake? Binafsi nakushangaa sana! Unataka mwanamke wa mwendo kasi [emoji87][emoji87][emoji87] mwanamke wa mtandaoni [emoji87][emoji87][emoji87] buyer be ware! Ni tamaa Au upendo wa aina gani? Hapana unahitaji U jifunze "self control " kwanza Mtu mwingine angezarau na kuona kuwa fake! Samahani Kwa kuyanena hayo!
Mapenzi ni kama ajali hayana hodi wala taarifa,hutokea popote na muda wowote...
Sent using Jamii Forums mobile app