Narudishaje furaha yangu?

Narudishaje furaha yangu?

Kiukweli sijamwelewa mtoa mada.

Naona kakutana na binti. Mwisho wa siku hajamweleza chochote ila anataka kumuoa huku furaha yake imepotea. Je alimtongoza mwanamke? Je mwanamke amempotezea baada ya kuonana? Ameniacha kwa hapo
Akipita atajibu ila kumbuka wenye visu vikali ndio walaji wa nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli sijamwelewa mtoa mada.

Naona kakutana na binti. Mwisho wa siku hajamweleza chochote ila anataka kumuoa huku furaha yake imepotea. Je alimtongoza mwanamke? Je mwanamke amempotezea baada ya kuonana? Ameniacha kwa hapo
Mkuu sina akili ya kukutana tu na kutongoza apo apo,japo nilisha sema nae na akajibu ni mapema sana, na mimi amekaa kwenye akili yangu adi nahisi kupoteza furaha yangu na ndo mana nauliza kipi nifanye nirudi normal
 
Mtongoze aidha akupige chini au muwe wote.
 
jamaa nakuhakikishia hizi ni nyege tu kama huamin ngoja umkaze uone vile atakubore
 
Usimuweke kwenye akili yako sana utaumia mkuu , tena jipe aslimia 20 tu za kumpata.
 
Duuh yaani umenasa hata mwezi hauja fika?

Mwambie ukweli tuu kaka, then sikiliza majibu yake.
 
Kumbe huku kuna wadada wazuri..me never know choah!!
 
Umetumia ID mpya but muhusika anajua nani kaonana nae. You tell her the truth
 
Mwambie unahitaji kwenda kwao kujitambulisha ili umuwowe mkuu
 
Back
Top Bottom