narudisha bikiea...lol

narudisha bikiea...lol

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
nipo 'kazini' karibuni lol yaani siamini mtu kaacha hela yake hapo mbele za hivyo vinyago lol kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
IMG_1011.JPG
 
Kaacha pesa kaondoka na alichofuata.
Hiyo inaitwa biashara.
 
Kaacha pesa kaondoka na alichofuata.
Hiyo inaitwa biashara.

sio biashara ni wizi,alichoondoka nacho ni bidhaa feki ambayo haitamsaidia lolote,ni sawa na kununua cheni bandia,
 
Hapo Maisha ndo yanakuwa matamu. Vinginevyo hii dunia ingeboa sana
 
We si ulienda ulaya kusoma???
Elimu yako haijakusaidia.

Unapoteza muda tu hiyo kitu haisaidii lolote
tena usije mwambia mtu bikira
labda useme hujafanya siku nyingi
tena kafanye labda ya hospitali, maana wanabana diameter.

Ila akizama mara moja tu bwetuuu inaachia.

Hiyo ya kichina sijui hata hivyo ni uchafu na bikira huwa hairudi.

fanya therapy za kiasili diameter itapungua.

Kama ni sikio la kusikia hutiofanya ila kama la kufa we kwfanye
utaaibika a million times.

narudisha bikira karibuni,,,,,,,,,,,,
 
Jamaa anatafakari afanayaje? dah kapata au kapatwa
 
unarudisha bikira ili ikatolewa na nani bahati unairudisha halafu unakuja kukutana na yule aliyekutoa ile original sasa sijui utamwambiaje
 
We si ulienda ulaya kusoma???
Elimu yako haijakusaidia.

Unapoteza muda tu hiyo kitu haisaidii lolote
tena usije mwambia mtu bikira
labda useme hujafanya siku nyingi
tena kafanye labda ya hospitali, maana wanabana diameter.

Ila akizama mara moja tu bwetuuu inaachia.

Hiyo ya kichina sijui hata hivyo ni uchafu na bikira huwa hairudi.

fanya therapy za kiasili diameter itapungua.

Kama ni sikio la kusikia hutiofanya ila kama la kufa we kwfanye
utaaibika a million times.

shindwa na ulegeee hunijui...babu tafadhali eeh,mie ni mke wa huyo mganga hapo juu....
 
kuna utafiti uliwahi kufanyika na kugundua kuwa wasomi wengi(stashahada na kuendelea) ndio wateja wa huduma hii. Kati ya wateja 100 wanaoenda kwa huyu bwana 65 ni wale wenye elimu ya juu, upo hapo mwana JF!
 
Kongosho umeshapata wateja wangapi? Na je wateja wako ni wa aina gani, na je unalipa kodi kwa mamlaka?
 
nafanyia stend ya mabasi ubungo
wakiwa wamesimama
hamna kodi wala nini.

Wateja ni wengi sana hasa wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom