Stopper3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 625
- 1,030
Ndio maana yake, na anajisifu mume wake aliyemtoa bikra hampagi
Hili lako naona lataka zidi kichwa, tho nafurahia kuona unazidi kukomaa...Looh jamani sikio hua halizidi kichwa ujue..ukiwa mdogo ni mdogo tu.
You are far better wise..humble..Smart than me. You know my past how was it..
siku utalipa sawa sawa na matendo yakoBinti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k
Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..
Aibu naona mim.
Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah I'm speechless my Dada, I don't deserve this..I'm not that worthy.Hili lako naona lataka zidi kichwa, tho nafurahia kuona unazidi kukomaa...
Let's not talk about past, tuangalie mbele tunakoenda kaka!
Usijali kabisaa jamani!.Dah I'm speechless my Dada, I don't deserve this..I'm not that worthy.
Wewe ni mkubwa utabaki kua mkubwa kwangu kwa kila kitu Dada.Niombee sana hiki tu ndio nahitaji toka kwako..Nakuahidi toka sasa nitakuweka kwenye orodha ya watu toka huku ninaowakumbuka kwenye maombi yangu..
Ahsante kwa kuacha yapite hayo yaliyopita Dada
Ahsante dada.. 😢😢😢😢Usijali kabisaa jamani!.
Kwenye sala hapa umefika, nitakukumbuka mnoo kwenye maombi!.
Barikiwa sana kakangu kipenzi!Ahsante dada..
Thanks too. Usiku huu niombee. Kesho nitakua ninashida kidogo only prays will keep me survivingBarikiwa sana kakangu kipenzi!
Usijali, Mungu aliyewavusha wana wa Israel katikati ya bahari nawe atakuvusha mdogo wangu!!Thanks too. Usiku huu niombee. Kesho nitakua ninashida kidogo only prays will keep me surviving
Tantee dada ake..ngoja nipitie rozali kidogo.Maana DaahUsijali, Mungu aliyewavusha wana wa Israel katikati ya bahari nawe atakuvusha mdogo wangu!!
Amini kesho yako ameipanga Mungu, Mungu akulinde na kuepushe na ajali zote za mwili na roho!!
Amini hakuna jaribu kubwa kuliko imani ulonayo, tabasamu mwambie Mungu asante!
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??
sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aimen aimennn!Tantee dada ake..ngoja nipitie rozali kidogo.Maana Daah
Mithali : Mlango 4
6 Usimwache, naye atakuhifadhi;Umpende, naye atakulinda.
Una maanisha wanawake wanatoka familia duni sana kiasi cha kukutegemea wewe muoaji ndio usaidie mke wako na familia yao?!!!!
What if wewe unayeoa ni kabwela, kapuku, mnuka shombo?