Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

Habari wanajukwaa!

Natumaini hamjambo,

Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.

Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.

Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.

Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.

Makonda jioni wanaringa kama wasichana mabikira.

Watu wananuka sigara mnapumuliana.

Mwendokasi nako niliwahi kupanda jioni nako hali ni ngumu. Kuna mfanyakazi mwenzangu alikatwa kidole na mlango wa mwendokasi asubuhi wakati anakuja kazini.
Pia unaweza kutushauri kuwa maisha si Dar pekee. Mikoani kuna maisha burdani sanaaa.
 
Habari wanajukwaa!

Natumaini hamjambo,

Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.

Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.

Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.

Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.

Makonda jioni wanaringa kama wasichana mabikira.

Watu wananuka sigara mnapumuliana.

Mwendokasi nako niliwahi kupanda jioni nako hali ni ngumu. Kuna mfanyakazi mwenzangu alikatwa kidole na mlango wa mwendokasi asubuhi wakati anakuja kazini.
Straight forward!!!
 
"We need to teach our generation that owning a car is not a symbol of success, and walking does not mean poverty"-The Late Nelson Mandela.
 
Habari wanajukwaa!

Natumaini hamjambo,

Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.

Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.

Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.

Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.

Makonda jioni wanaringa kama wasichana mabikira.

Watu wananuka sigara mnapumuliana.

Mwendokasi nako niliwahi kupanda jioni nako hali ni ngumu. Kuna mfanyakazi mwenzangu alikatwa kidole na mlango wa mwendokasi asubuhi wakati anakuja kazini.
KUKATWA KIDOLE NA MLANGO WA MWENDOKASI IS ALMOST IMPOSSIBLE SABABU ILE NI RUBBER

ILA MENGINEYO NI UKWELI MTUPU

UMESAHAU KUBAMBIWA
 
Habari wanajukwaa!

Natumaini hamjambo,

Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.

Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.

Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.

Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.

Makonda jioni wanaringa kama wasichana mabikira.

Watu wananuka sigara mnapumuliana.

Mwendokasi nako niliwahi kupanda jioni nako hali ni ngumu. Kuna mfanyakazi mwenzangu alikatwa kidole na mlango wa mwendokasi asubuhi wakati anakuja kazini.
Dawa ni kupunguza Kasi ya kuzaliana. Watanzania million 60 ni sawa sawa na mataifa mawili, ndio maana watu wanapambana kupunguza idadi ya watu Duniani.
 
Upo sahihi kabisa. Sababu ni serikali yako. Usafiri umefanywa kuwa anasa badala ya hitaji muhimu la watu.

Nchi zilizoendelea magari ni hitaji la muhimu
Hatuna barabara sheikh...wakiondoa Kodi Za magari mtayaendesgea wapi?assume Hadi Fundi viatu kapaki gari nje barabara zitatosha?
Hizi zilizopo Tu kwanza hazitoshi
 
Hata tajiri ni maskin mtarajiwa na maskin anaweza kuwa tajiri mtarajiwa usitukane Mamba kabla hujavuka mto dogo maliza chuo uje kwa ground tuonyeshane makali hivyo vihela hela unavyo pewa kwa mkopo vnakufanya ujione tajiri humu
Umeingiza sh ngapi kwa kuongea hizo pumba? Tafuta hela kijana acha kulialia... Umasikini Unanuka, Umasikini sio sifa, Umasikini sio fahari ya kujivunia!

Wewe ni masikini

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hata tajiri ni maskin mtarajiwa na maskin anaweza kuwa tajiri mtarajiwa usitukane Mamba kabla hujavuka mto dogo maliza chuo uje kwa ground tuonyeshane makali hivyo vihela hela unavyo pewa kwa mkopo vnakufanya ujione tajiri humu
Chuo nimeshasahau hata nilisomea nini, mavyeti yapo huko kabatini yanakojolewa na mende mimi nipo nakula faida wewe unasema tukutane ground

Fanya Biashara acha kulialia

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajukwaa!

Natumaini hamjambo,

Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.

Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.

Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.

Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au usimame Kariakoo mpaka Tegeta.

Jioni ukitoka mjini kwenda pembezoni mwa jiji unavizia basi la kugeuka nalo ili upate siti, nako ukishangaa hupati.

Makonda jioni wanaringa kama wasichana mabikira.

Watu wananuka sigara mnapumuliana.

Mwendokasi nako niliwahi kupanda jioni nako hali ni ngumu. Kuna mfanyakazi mwenzangu alikatwa kidole na mlango wa mwendokasi asubuhi wakati anakuja kazini.
Aliyekuambia ukaishi mbagala ndio kakuponza ila usijali, BRT inakamilika soon

Si uishi Kimara ama Morogoro Rd?
 
Back
Top Bottom