britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #161
Hii hatari
Hii hatari
Kwa hiyo ndio lilikuwa hitaji kuu huko kijijini kwenu?Mi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Nenda kwenu kwa waliyopatwa na tetemeko, ukarudie maneno hayo kama hukutumiwa "radi" na Kayula NkubhaMagufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
Unachekesha na kusikitisha at the same time.Nenda kwenu kwa waliyopatwa na tetemeko, ukarudie maneno hayo kama hukutumiwa "radi" na Kayula Nkubha
Wameshakufa.Unadhani Reich Führer Adolf Hitler, Dk Al haji Idd Amin,Mfalme Jean Bedel Bokassa , nao walikuwa watu wa kuchezewa?
Sasa hivi wako wapi?
Seuze mPhD feki ya juisi ya korosho
Kwa kuchezea hela za wananchi masikin sio wa mchezo mkuu.Ndo silaha yake baada ya kushindwa kila kona!!Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,
Kwanza tumjue Magufuli ni nani,
Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,
Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,
1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka
2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,
3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,
4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi
5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi
6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana
7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,
8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza
9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.
10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,
11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,
12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,
13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar
14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,
Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Aliyesema maneno yale alikuwa mpigaji wa awamu ya nne, njia zote zinapozibwa ndio anaongea upuuzi utadhani yeye sio mtu aliyezungukwa na hao washamba huko ambako wazazi walizaliwa.kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
Ndio tanzania ya viwanda mlio waahidi watz?kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
YesIngawa dizaini kama umeandika kwa kejeli ila ukweli ni kwamba zinachipua. Nenda Kurasini ukaone, na sasa ujenzi unaendelea Tazara,makutano ya Mandela road na Nyerere road
SureMi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Ni kweli sii wa kuchezea, na kwa kawaida hakuna mtu timamu anacheza na kichaa.Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,
Kwanza tumjue Magufuli ni nani,
Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,
Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,
1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka
2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,
3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,
4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi
5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi
6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana
7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,
8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza
9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.
10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,
11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,
12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,
13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar
14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,
Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
The Bible says:AMELAANIWA AMTUMAINIYE MWANADAMU! Ni Mungu peke yake ndo anatakiwa kutumainiwa na si vinginevo!!!!Kama magufuli ni mungu ni kweli sio wa kumchezea
Kwa nchi kupinda ni kweli, lakini sijui kama atafanikiwa "kuionyoosha", sidhani. Kwasababu ametumia mbinu mbovu. Angeweza, lakini hajatumia busara Zaidi. Nchi ni kweli imeoza all the way to its core. Customer service is one of the worst in the world in my opinion. I don't agree with his measurements.Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,