Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

mzee wa kukimbia wanyonge kwenye misiba
na anaongoza kwa utekaji chini ya utawala wake..
kaharibu uchumi na amani ya nchi..
wajinga hufikiria maendeleo ni kutoa hela iliyopo na kununua ndege au kujenga flyover
shilingi inazidi kuporomoka..
phd inatafutwa nje ikajenge hoja imeishia kumwaga mipasho mtaani, mara mimi jiwe, mara nitieni girisi..
 
Ni Kazi kubwa kweli kurejesha mtindi kuwa fresh,hawa wabongo vichwa ngumu,waliopiga miradi ya ticha sijui kama ataweza,
Kwa nchi kupinda ni kweli, lakini sijui kama atafanikiwa "kuionyoosha", sidhani. Kwasababu ametumia mbinu mbovu. Angeweza, lakini hajatumia busara Zaidi. Nchi ni kweli imeoza all the way to its core. Customer service is one of the worst in the world in my opinion. I don't agree with his measurements.
 
Mi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.

Miaka ya nyuma tulikuwa na marais wazembe tu na ndiyo maana kila kitu tuliona kama hakiwezekani hapa nchini.
 
Chato Inataneshono Eapoti,
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,

Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
 
Unafaa kuwa D C ngoja niangalie mtu aliyejisahau huko wilayani
IMG-20181013-WA0002.jpg
 
MAKUFULI HAPENDI MTU AONEWE KAMA UMEDHULUMIWA NA TAJIRI AU OFISA YEYOTE WA SERIKALI UKIMFIKISHIA MALALAMIKO NI HAPO KWA HAPO HANA KULAZA
 
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,

Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Mkapa huyu aliejiuzia mgodi wa makaa ya mawe kiwira sh milioni tatu? Au mwengine?
 
Mmmmmmh
 
kwa jinsi mambo nanavyokwenda lately, wapo watakaotamani kurudisha maneno yao kuwa " hii nchi inaendeshwa na washamba" that was a very reckless statement. Now they have to pay for that.
Watu wa visasi ndivyo mlivyo. Kumbe ukweli unauma eeh? Eti watatamani kurudisha? what the most fuckin stupid statement ever. Jengeni viwanda kama nchi haiendeshwi kishamba na washamba, jinga kabisa.
 
Mi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Ushamba umewazidi. Na kwa ushamba huo huo mtaendelea kumtukuza mfalme mpaka kwa visivyomhusu. Flyover moja tu unakoleza chumvi kuwa zinaota kama uyoga! Njoo Kampala uone flyovers zilivyo za kutosha.
 
Nenda zako..niache kusifia vya kwangu nikasifie vya jirani..we umetoka kukazw.a nini??
 
Mpuuzi ww mlamba viatu nyinyi ndio mnaturudisha nyuma katika demokrasia Haki za binadamu na haki za kiraia mnajali matumbo yenu tu
 
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,

Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
ila kwa suala la makotena kutolipiwa kodi vipi? huko ni kumjaribu au kumuunga mkono?
 
Mi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Acha ushamba wako uzinduzi wa flyovers ulifanywa na kikwete ni mpango ilipangwa na kikwete huyo mtukufu kaja kuendeleza tu
 
Back
Top Bottom