Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

habari zenu wadau Nam nataka niingie kwenye kilimo Cha nyanya mwezi wa 8 npo
Mwanza,. Je Kati ya Anna na Eden ip itakua nzur kwa kipind io ukiachana na Assila
 
habari zenu wadau Nam nataka niingie kwenye kilimo Cha nyanya mwezi wa 8 npo
Mwanza,. Je Kati ya Anna na Eden ip itakua nzur kwa kipind io ukiachana na Assila
Kama ni Mara yako ya Kwanza kulima usipande Anna F1, hiyo ni nyanya ndefu, mahitaji yake ni changamoto.
 
Nilipata milioni nane ya kwanza katika maisha yangu kwa kulima eka moja ya nyanya mwaka 1998. Kama unakumbuka wakati wa el nino. Nina uzoefu sana kwenye hilo basi muda umekua sina baada ya kujiunga kwenye BABYLON system. Kwa anaetaka kushare nitamjuza lini kulima na lini kuacha kadiri ya bei.
ndio ipoje hiyo mkuu naomba unieleweshe pm,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na niliona jinsi watu walivyofanikiwa kupitia kilimo cha nyanya) hivyo nilishawishika vilivyo

Tulikubaliana tulime shamba la pamoja kwa kushirikiana na kushare gharama sawa kwa sawa. Tulikodi shamba na tukalima kwa trekta, baada ya wiki moja tu tangu kulima uyu rafiki yangu akapata kazi nyingne mkoa mwingine. Hivyo nikabaki peke yangu nikilisimamia shamba. Nilienda vijijini nikatafuta vijana wa kazi nikawapeleka shamba shughuli iliendelea. Hapa nikiri kua gharama zote za shamba nilitoa mim uyu rafiki yangu ni kama alinisusia shamba(kumbuka tulilima shamba kubwa kama hekari 1.25 ivi kwa minajili ya kushare gharama)
Kufupisha stori
Katika kilimo hiki nyanya zilipofikia hatua ya kukomaa ziliingiliwa na ugonjwa wa wadudu na mnyauko hivyo mwisho wa siku sikuvuna hata ndoo moja ya nyanya. Pia vijana waliokua wanahudumia shamba wamenifelisha kwa kiasi kikubwa
Nilivopiga hesabu nilikua nimetumia zaidi ya Milioni 2 lakini sikuvuna kitu

Sijakata tamaa
Mwaka huu 2020 nimerudi tena kweny kilimo cha nyanya, saizi nna maarifa na uzoefu kidgo pia nmemtafuta mwenyej mzoefu nashirikiana nae, mim natoa gajarama yeye katoa shamba na nguvukazi yake. Kama mambo yakienda vizuri nategemea mwezi wa 4 nyanya zitakua tayari
Tukutane mwezi wa 4 kwa ajili ya mrejesho wa mavuno
April ndio hii ndugu nasubiri mrejesho naamini kuna mengi ya kujifunza
 
Mvua zinazoendelea maeneo ya Mafinga, Makambako, Mbeya na Iringa zimekula ekari moja nzima ya shamba la nyanya.

Nimerudi kwenye corona kureflect.
 
Kwanza hela 1.25 ya nyanya kulimwa kwa sh 2 ni kujitakia kufeli tu.

Eka 1 ya nyanya andaa 1.5 Hadi million 2 ukitaka kulimwa nyanya na nyanya ikupe faida kweli otherwise achana na nyanya utadondokea pia Mara ya pili.

Nyanya sio zao la kukimbilia kbs inabidi uwe mwamba kweli kweli
 
huu ugonjwa wa mnyauko ni hatari mno, watalam wa kilimo hetu tusaidieni unasababishwa na nini hasa maana si nyanya tu mazao mengi hukumbwa na zahma hii.
 
Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na niliona jinsi watu walivyofanikiwa kupitia kilimo cha nyanya) hivyo nilishawishika vilivyo

Tulikubaliana tulime shamba la pamoja kwa kushirikiana na kushare gharama sawa kwa sawa. Tulikodi shamba na tukalima kwa trekta, baada ya wiki moja tu tangu kulima uyu rafiki yangu akapata kazi nyingne mkoa mwingine. Hivyo nikabaki peke yangu nikilisimamia shamba.

Nilienda vijijini nikatafuta vijana wa kazi nikawapeleka shamba shughuli iliendelea. Hapa nikiri kua gharama zote za shamba nilitoa mim uyu rafiki yangu ni kama alinisusia shamba(kumbuka tulilima shamba kubwa kama hekari 1.25 ivi kwa minajili ya kushare gharama)

Kufupisha stori
Katika kilimo hiki nyanya zilipofikia hatua ya kukomaa ziliingiliwa na ugonjwa wa wadudu na mnyauko hivyo mwisho wa siku sikuvuna hata ndoo moja ya nyanya. Pia vijana waliokua wanahudumia shamba wamenifelisha kwa kiasi kikubwa
Nilivopiga hesabu nilikua nimetumia zaidi ya Milioni 2 lakini sikuvuna kitu

Sijakata tamaa
Mwaka huu 2020 nimerudi tena kweny kilimo cha nyanya, saizi nna maarifa na uzoefu kidgo pia nmemtafuta mwenyej mzoefu nashirikiana nae, mim natoa gajarama yeye katoa shamba na nguvukazi yake. Kama mambo yakienda vizuri nategemea mwezi wa 4 nyanya zitakua tayari
Tukutane mwezi wa 4 kwa ajili ya mrejesho wa mavuno
Kila LA Heri
 
Back
Top Bottom