Utaishia kuzogoa na wanawake tu..Huna bro.
Pride uliyonayo. Ungekuwa na 100k ungekuwa ushalipia.
Pengine bado Hujui umejiaibisha kwa kias gan kuomba uplatinum bila kuwa na vigezo.
Na ukaambiwa basi lipia. Nayo Hauwezi.
Yaan sifa zote 2 za uplatinum hauna.
Ni aibu bro.
ephen_
Shosti ako atapandisha kisukari sasahivi πππ
Utaishia kuzogoa na wanawake tu..
Nimeshasema Saizi I'm never dealing with y'all.
Elevenn hueshimiwe! Umenizidi hela mimi hapa nina 850 tuUnatafuta sana attention na mm sio seeker
View attachment 3652126
I'd rather buy a good book than paying for something I know hainipi chochote
Unatafuta sana attention na mm sio seeker
View attachment 3652126
I'd rather buy a good book than paying for something I know hainipi chochote
Una vichamboπSio zako bro.
Ww kwa pride yako ungekuwa ushalipia uplatinum.
Mwenye hela hawez lia lia kuomba kitu wakati ashaambiwa kinauzwa.
Tatizo kwenye Posts zake amejimaliza sana.Una vichamboπ
Haya ila tambua I'm not for the drama anymore
Ebu mchore nioneTatizo kwenye Posts zake amejimaliza sana.
Sasahivi hata mtu akisema amchore na aandike tabia zake anampatia.
Mkuu naona hutakagi huyu dogo apumue. π€£π€£I dont have any issues with You bro.
Pia Siwez kuumizwa na Fake ID.
Alaf naumizwa kwa lipi hasa ulilonalo bro?.πππ
Yaan niumizwe kwa kuwa ww una Kiherehere na Ushamba alafu mimi sina πππ
Mimi kanipiga mikwara ndo maana sitii neno mpaka binti kiziwi afikeHii ni vizuri.
wishing you all the Best.
M out.
Sasahivi natulia Mkuu.πππMkuu naona hutakagi huyu dogo apumue. π€£π€£
Ewaaaa! Usimpandishe sukari π π leo kaja kivyengine.Sasahivi natulia Mkuu.πππ
π€£π€£π€£Elevenn hueshimiwe! Umenizidi hela mimi hapa nina 850 tu
Naomba niwe chawa wako
Mwambie huyo.!Huyo hana lolote, na yeye ndo dogo
Hana maisha, hana ujuzi, anakakia kuzuga na wanawake tu humu
Huyo hana lolote, na yeye ndo dogo
Hana maisha, hana ujuzi, anakakia kuzuga na wanawake tu humu
Hata mimi amenikera sana kiufupi kingleza nakijua ila kusoma huwa naonaga uvivu sanaMtu anaechanganya lugha namuona mshamba na pumbavu kupitiliza KAMA UMEAMUA KUANDIKA ENG ANDIKA ENG Kama swahili swahili tu