Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha

Waacheni wafu wazike wafu waoMi nataka nikapate japo SHANGINGI tu la yule mheshimiwa aliyekua anagombea ile nafasi ile kwa kumkandia mgombea mwenza
Interesting. Who lost presidential election? CCM is a dying party and those who do not realize it are the real crazies. Have some humility!When you lost presidential election, and only 22 "won seats" amongst how many? You have absolutely no influence on any of the branches of government. And you have an audacity to call the victor kwamba he is dying. I say you are craazy. OR you live in a different world.
Wanachama wa CCM watakufa as individuals
CCM will remain infinitely
When you lost presidential election, and only 22 "won seats" amongst how many? You have absolutely no influence on any of the branches of government. And you have an audacity to call the victor kwamba he is dying. I say you are craazy. OR you live in a different world.