Narudi CCM

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,339
Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha
 
CCM Wakifa watazikwa.
 
Wanachama wa CCM watakufa as individuals

CCM will remain infinitely
 
I like this. Hata maandiko yanasema kuwa utawala wa shetani un mwisho.
 
Mi nataka nikapate japo SHANGINGI tu la yule mheshimiwa aliyekua anagombea ile nafasi ile kwa kumkandia mgombea mwenza
 
Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha

When you lost presidential election, and only 22 "won seats" amongst how many? You have absolutely no influence on any of the branches of government. And you have an audacity to call the victor kwamba he is dying. I say you are craazy. OR you live in a different world.
 
Mi nataka nikapate japo SHANGINGI tu la yule mheshimiwa aliyekua anagombea ile nafasi ile kwa kumkandia mgombea mwenza
Waacheni wafu wazike wafu wao
Wewe huna haja ya kurudi. l;akini kwani ulikuwa wapi before?
 
Kumbe ndiko ulikotokea sasa unataka kurudi? Basi umechelewa kwani hakuna utakachoambulia tena kwa vile Makamba, Kikwete na Kinana watakula kila kitu na hivyo CCM kufa bila kuacha urithi.
 
Ni kweli kabisa, utawala wa kidhalimu mwisho wake huwa si mzuri... tuangalie hiki chama kinakotupeleka tuombe isiwe kwenye machafuko sababu naona kinataka kufa na raia!!
 
Bora kurudi nakuwamaliza kabisaa kabla ya kudhulumiwa zaidi na zaidi
 
Twendeni nasisi tukawafitinie kama walivyofanya nakuiba kura zao...
 
When you lost presidential election, and only 22 "won seats" amongst how many? You have absolutely no influence on any of the branches of government. And you have an audacity to call the victor kwamba he is dying. I say you are craazy. OR you live in a different world.
Interesting. Who lost presidential election? CCM is a dying party and those who do not realize it are the real crazies. Have some humility!
 
hivi CCM ina ubaya gani?, najua ndani ya CCM kuna watu wabaya kama ilivyo katika vyama vyote, lakini CCM kama chama ubaya wake siajauona
 
When you lost presidential election, and only 22 "won seats" amongst how many? You have absolutely no influence on any of the branches of government. And you have an audacity to call the victor kwamba he is dying. I say you are craazy. OR you live in a different world.

Sorry!! It is like a crazy man telling a sane and sober man that he is crazy. Who can tell the difference when one of the stand points is on quick sand?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom