Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Mimi nilimkopa milion 2.5 na kumwazima gari. Akanokisha engine na kuitelekeza na hio 2.5 hakuna. Nimedai ananiambia hanipi sababu kuna maneno nimemwambia mke wake.
Unajua i have failed to comprehend kabisa wakati mke wake sina hata mazoea nae na wameachana. Urafiki kazi sana. Ila nafikiri hajui roho yangu, the revenge will come in multiples labda mmoja wetu atangulie kufa.
Wakati huu sina mda wa kupoteza ku devise a plan, but the time will come when am relaxed and settled. Iwe in a year hata 10 years atakumbushwa tu tena kwa maumivu makali!
Halaf kweli kama kuna mtu anahitaji body ya benz macho ya panzi anitumie pm.