Napoteza Rafiki yangu jamani nisaidie

Napoteza Rafiki yangu jamani nisaidie

Habari zenu wanajamvini, majuzi nilitoa hela Tigo pesa 500,000 nkampa huyo rafiki yangu azihesabu coz nilikuwa nadrive zen achukue mkopo anaotaka maana aliniambia hana hela anataka nimkope, kwenye gari kulikuwa na dada mwingine sasa wakati yule shost anahesabu hela akanipa laki mbili yeye akachukua laki tatu sasa ikafika muda wa malipo nkambwambia unajua nakudai laki tatu akasema no nilichukua laki mbili nkwambia tumuulize yule dada mwinigne ambae alikuwepo akasema alinipa mie laki mbili na yeye kuchukua tatu,

Basi nkasema nimeingia hasara laki kwa urafiki ni issue ndogo sana nkapotezea sasa jana mchana nkawa nampigia simu as you friends coz tulizoea kusalimiana nkakutana simu haipatikani sasa jioni tulipoona nkamuuliza vipi mbona nimekupiga mchana sijakupata akaniambia nimekublock kozi unaleta njaa zako na kunisingizia kama ulikuwa unataka kunikopa si ungesema kuliko kunisingizia umenipa laki tatu daaah nilijisikia vibaya sikujibu kitu kbs! Hivi jaman mtu kama huyu unamfanyaje? Mie nkajisemea kimoyomoyo Mungu kama nimekosea mie show me ila kama ni yeye amuonyeshe coz siwez kupoteza urafiki coz of 100,000/= maana siku nyingine huwa tunapeana hela tunanunuliana vitu! Yaan kakasirika as if kweli nimemsingizia

Kosa ulilolifanya ni kumwamini mpaka kwenye hela! Kisukuma huwa tunasema "hela haina undugu" ndo maana huwa tunaihesabu hata kama umepewa na mama yako, sembuse rafiki?!!!
 
Mkuu pole sana kwa haya yote yaliyokukuta,na Mimi pia nina KISASI cha kulipa kama chako kwa Mtu fulani hivi na nilishamwambia kabisa ipite miaka hata kumi na ninachotaka hasa asahau kabisa yale yote mabaya aliyonifanyia ndio nilipe Kisasi changu kwake maana ndio itamuuma vizuri,unamsaidia Mtu halafu anakuona wewe ni ----- kuliko mabwege yote.

Nii kweli inauma lakn kumbukeni kwenye kisasi hakuna mshindi
 
Habari zenu wanajamvini, majuzi nilitoa hela Tigo pesa 500,000 nkampa huyo rafiki yangu azihesabu coz nilikuwa nadrive zen achukue mkopo anaotaka maana aliniambia hana hela anataka nimkope, kwenye gari kulikuwa na dada mwingine sasa wakati yule shost anahesabu hela akanipa laki mbili yeye akachukua laki tatu sasa ikafika muda wa malipo nkambwambia unajua nakudai laki tatu akasema no nilichukua laki mbili nkwambia tumuulize yule dada mwinigne ambae alikuwepo akasema alinipa mie laki mbili na yeye kuchukua tatu,

Basi nkasema nimeingia hasara laki kwa urafiki ni issue ndogo sana nkapotezea sasa jana mchana nkawa nampigia simu as you friends coz tulizoea kusalimiana nkakutana simu haipatikani sasa jioni tulipoona nkamuuliza vipi mbona nimekupiga mchana sijakupata akaniambia nimekublock kozi unaleta njaa zako na kunisingizia kama ulikuwa unataka kunikopa si ungesema kuliko kunisingizia umenipa laki tatu daaah nilijisikia vibaya sikujibu kitu kbs! Hivi jaman mtu kama huyu unamfanyaje? Mie nkajisemea kimoyomoyo Mungu kama nimekosea mie show me ila kama ni yeye amuonyeshe coz siwez kupoteza urafiki coz of 100,000/= maana siku nyingine huwa tunapeana hela tunanunuliana vitu! Yaan kakasirika as if kweli nimemsingizia

mnatuharibia kiswahili jamani, sasa kumkopa au kumkopesha.!?
nimkope au nimkopeshe.!? yani kiswahili mnakiharibu kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom