Napoli inakwenda kuishika serie A.

Napoli inakwenda kuishika serie A.

Benitez ndio sababu ya kiwango cha Liverpool kushuka,in fact wakati anaondoka/anatimuliwa they were already out of top 4.

Alikua anafanya usajili mbovu sana, ukiacha Torres na Alonso( ambaye toka aondoke, team haijapata mbadala wake), Wachezaji wengine wote walikua magalasa tu na ndio walioifikisha Liverpool hapo ilipo.

We unadhani kwa nini alitimuliwa kama sio kiwango kibovu na kushindwa kuqualify for UCL?
Misimu yote aliyokuwa na Liverpool,aliwezesha kucheza ucl,na hata 2009 wanamaliza namba 2 wakipoteza mechi 2 tu na kumfunga man utd 1-4 pale trafford,liverpool kufukuza makocha ni laana mana kaondoka kipenzi chao walimpenda Kenny Daglish,na kingine Benitez kila timu anayofundisha kabeba kombe la kimataifa,Valencia uefa alhamisi,liverpool ucl,inter klabu bingwa dunia na chelsea uefa alhamisi,kwahiyo hata kama mnamchukia ana rekodi nzuri ya kimataifa.
 
jamani Chomba na Mourinho hebu muondoeni huyu Zero hapa kabla sijamtafuta hadi anapoishi hata kama ni U.k ntakuja nimtandike ngumi moja napanda ndege na kurudi zangu bongo na haamki tena!ananichefua hapa!unajua Zero sipendi uchokozi!huu ni uchokozi wa wazi wallah nasema ntakutafuta nikukande moja tu ya uso au nitaenda kwa babu yangu bwagamoyo atarusha shilingi juu akisema Ziroo utastukia unapigwa shilingi isiyoonekana usoni kama yule refa Anders Frisk wa Sweden alivyostaafishwa na curva du sud ya Roma!eti unasemaje?italian soka ilikufa miaka ya tisini?are you sure?umeanza kucheki soka ya ulaya lini wewe?angalia hizi fainali:1990-milan 1 benfica 0,1992-barcelona 1 sampdoria 0,1993-marseille 1 milan 0,1994 milan 4 barca 0,1995-ajax 1 milan 0,1996-juventus 1,ajax 1(juve wakabeba kwa penati ya Vialli nakumbuka mpambano huu na jezi zetu za bluu,zile bukta ukimpa Messi avae leo atakutukana!nililia kwa furaha ile penati siisahau tulikuwa washkaji 12 tunatazama hii mechi wote juve,enzi hizo premier league kuna Nottingham forest,wimbledon zikijaa watu weusi,unamjua ian right wewe?unaijua jezi ya JVC?halafu mnasema mnaijua arsenal na kututambia sie tunashabikia Juve!),..niliishia wapi..1997-dortmund 3 juve 1(bao la kisigino la del piero uliliona wewe?),1998-madrid 1 juve 0,1999 juve wakatolewa semi final na man u iliyokuja kubeba ndoo dk za jioni kwa kona mbili na sub mbili za Ferguson huyu babu mwacheni apumzike kawafanyieni makubwa sana,..tuendelee..2003 milan vs juvent..aah..nimevuka mstari,tulikuwa tunazungumzia miaka ya 90,haya turudi UEFA ndogo(UEFA CUP),1990 Juve 3 fiorentina 1(nakutajia aggregate score maana watu walicheza mechi mbili hamna kubahatishana sio nyie juzi mmembahatisha benfica mechi moko mnaimba wee na kupigia kelele watu wazima hapa),inter 2 roma 1,..nimesahau kukuandikia mwaka,hiyo ni 1991,1992 ajax wanamfunga mdogo wangu Torino kwa penati,1993-juve 6 dortmund 1,(wacha watupige tu 1996!),1994-inter 2 salsburg 0,1995-parma 2 juve 1(tulikosa magoli sana mechi hii),1997-schalke anampiga inter kwa penati,1998-inter 3 lazio 0(unamjua hernan Crespo wewe?),1999 parma 3 marseille 0..au hujui Parma ni ya wapi?au huelewi inter,juve,milan,sampdoria,lazio,torino,roma,fiorentina ni za wapi?hii miaka niliyoitaja sio miaka ya 90?au wewe unazungumzia 90's ya miaka gani?au umesahau labda ulikuwa unazungumzia muziki wa 90's? unamjua Craig Mack,naughty by nature(you know OPP..hey you know me?),blackstreet,born thugs'n harmony,babyface,boyz to men,michael jackson(dangerous)miky jagger,eddy sheggy,niko zengekala,sikinde ngoma ya ukae,dar international,au tuhamie NBA..Unamjua Jordan,unawajua Utah Jazz?au masumbwi..unajua tulikuwa tunaamka saa ngapi kumuona iron Tyson?au viwanja vya disco..unaijua la prima club wewe?hivi wewe umewahi kuruka ukuta kumuona celestine "Sikinde" Mbunga?90's gani unazungumzia wewe?unasema milan ya akina basten ilivyopita soka ya italia ikafa,milan ya akina Cafu na shevchenko umeiacha wapi?inter ya Ronaldo?juve ya Trezeguet?fiorentina ya batistuta?lazio ya huyu kocha wa Atletico?....zero..zero...Mourinho hebu muondoe huyu mtu hapa nisije nikampandia ndege sasa hivi!we zero..nikutafute?haya piga magoti hapo ulipo uombe msamaha kwa kutuongopea watu wazima usiku kweupee..!muangalie kwanza!mdomo kama Damiano Tommasi!haya ingia google image uanze kumtafuta!...
umerindima vingi sana hapa,nimekumbuka pia Parma 1995 lilian thuram wanawafunga Juve final nadhani kombe la washindi(wakati huo washindi na uefa cup zipo tofauti)sasa hivi kombe la washindi(karibia mabara yote) imekufa imeunganishwa pa1 na hii uefa alhamisi,nilikuwa nasapoti Juve,na kama utakuwa na kumbukumbu nzuri wakati huo ilikuwa mei huku afrika ktk klabu bingwa afrika simba anacheza na asec abidjan,abdoulaye traore(wale wenzangu soka kitambo wanamkumbuka)anakula red kadi kule abidjan kwa kumpiga kiwiko(kipepsi)Hussein aman marsha simba ikala 2-1,yule marehemu sasa Sekou Bamba akaapa simba wakiwatoa dar anajiuzulu kucheza soka na akaahidi anafunga goli,na akafunga goli asec akashinda tena 2-1 dar,kiapo hiki aliaapa Rivaldo 1999 robo final ucl Barca vs chelsea baada ya kula 3-1 darajani,wakirudi el prat international airport jijini Barcelona mashabiki wenye hasira wa Barca wakiwazomea kwa kipigo cha aibu,Rivaldo aliwaahidi washabiki wametufunga 3-1 kwao,ila na sisi tutawpofunga natundika madaluga,japo alikosa penati ktk dk 90 Rivaldo huku akiwa na hasira kutokana na maneno yake,alifunga bao dk za mwisho ikifanya 3-1 barca wameshinda wakaenda extra time,babayaro akala nyekundu kwa kumchezea vibaya luis figo ktk extra time,akaja damu changa dani garcia lara akitokea bench,na mwsiho ubao ukasomeka barca 5-1 vs chelsea.hapa umenikumbusha mba;li juve02 enzi italy walivyotawala ulaya ikiwemo juve kucheza fainali 3 mfululizo ucl 2 ikipoteza na 1 ikibeba.
 
Misimu yote aliyokuwa na Liverpool,aliwezesha kucheza ucl,na hata 2009 wanamaliza namba 2 wakipoteza mechi 2 tu na kumfunga man utd 1-4 pale trafford,liverpool kufukuza makocha ni laana mana kaondoka kipenzi chao walimpenda Kenny Daglish,na kingine Benitez kila timu anayofundisha kabeba kombe la kimataifa,Valencia uefa alhamisi,liverpool ucl,inter klabu bingwa dunia na chelsea uefa alhamisi,kwahiyo hata kama mnamchukia ana rekodi nzuri ya kimataifa.

Wacha kuongea uongo bana, msimu wake wa kwanza team ilimaliza nafasi ya tano pamoja na kubahatisha kombe la UCL, ilibidi Uefa wapindishe sheria ili bingwa mtetezi ashiriki msimu iliofuata

Msimu aliofukuzwa (2009-10) Liverpool ilimaliza nafasi ya SABA, bado vipigo vya kipuuzi kutoka kwa team kama Wigan, kutolewa Europa na Atletico Madrid na usajili wake mbovu vilisababisha kibarua chake kuota nyasi.

Aliiacha Liverpool in bad shape tofauti na alivyoikuta, team ilikua na wachezaj wa hadhi ya Liverpool wanne tu, Gerrard, Torres, Carragher na Reina tu.

Usajili wa wachezaji kama Josemi, Nunez, Peter Crouch, Sissoko, Ryan Babel, Andril Vironin, Bellamy, Robbie Keane, Aquilani( aliyenunuliwa akiwa majeruhi) Johnson n.k ndio uliicost Liverpool

Ujinga mkubwa wa huyu bwana ni kumuuza Alonso na kumreplace na ushuzi Lucas, hili hadi washabiki waaminifu wa Liverpool al maarufu kwa jina la Kopites walimgeuzia kisogo, na mpaka leo Liverpool hawajapata a great passer kama Alonso na ndio kisa cha Torres na hususani Gerrard kudrop kiwango chake.
 
Bahati yako Zero location uliyotaja na channel uliyosema kuna kaukweli kidogo.nilikuwa nikija sana kutembea Moshi miaka hiyo nikifikia maeneo ya Pasua kwenye kota za UNDP pale kutwa kucha ni KBC na akina mzee Ojwang ha ha haa!na penati ya Baggio iliyoota mbawa niliitazamia hapo Pasua,niliumwa wiki nzima,wenyeji wangu walikuwa na sherehe Arusha mie niliwaomba nibaki home tu,wakauliza "mbona umebadilika ghafla?"ha ha haa,mpira noma sana!
 
Gutierez,ugomvi wangu na huyu mpishi wenu wa kispanish ni ligi.Nimemuuliza swali bwana Zero hapa hajanijibu labda kakake umekuja hapa umsaidie,ni lini mara ya mwisho Benitez kutwaa local league yenye mechi 30+?huko kwenye makombe na knockouts mie namwelewa huyu jamaa ni noma pande hizo,tatizo ni ligi na hasa mechi dhidi ya timu ndogo ambazo ndio huwa zinatoa pointi za ubingwa kutokana na kuwa nyingi.kila nchi ukienda utakuta timu kubwa ni mbili,tatu mwisho nne!sasa huwezi kutwaa serie a kwa kumfunga Juve,Milan,Inter na Roma tu,hao wachache,hawa 16 waliobaki ndio wengi na wanakupa 70& ya ubingwa na watoto wa serie A ni ving'ang'anizi kwelikweli,huku ndiko mzee Benitez anatia hasira,utasikia kashinda 4 kwa Inter akirudi kwa Sassuolo,Pescara,Udinese,Parma,Chievo,Cagliari majanga matupu!kuprove hili ni tatizo,niambie wewe Gutierez,lini mara ya mwisho jamaa kubeba ndoo ya local league?na ukumbuke italia nafasi za champions league ni 3 tu na ktk hizo mbili tu ndio direct entry,so you have to win as many matches as you can to stay on the top 2 or 3!
 
2004 la liga
 
Wacha kuongea uongo bana, msimu wake wa kwanza team ilimaliza nafasi ya tano pamoja na kubahatisha kombe la UCL, ilibidi Uefa wapindishe sheria ili bingwa mtetezi ashiriki msimu iliofuata

Msimu aliofukuzwa (2009-10) Liverpool ilimaliza nafasi ya SABA, bado vipigo vya kipuuzi kutoka kwa team kama Wigan, kutolewa Europa na Atletico Madrid na usajili wake mbovu vilisababisha kibarua chake kuota nyasi.

Aliiacha Liverpool in bad shape tofauti na alivyoikuta, team ilikua na wachezaj wa hadhi ya Liverpool wanne tu, Gerrard, Torres, Carragher na Reina tu.

Usajili wa wachezaji kama Josemi, Nunez, Peter Crouch, Sissoko, Ryan Babel, Andril Vironin, Bellamy, Robbie Keane, Aquilani( aliyenunuliwa akiwa majeruhi) Johnson n.k ndio uliicost Liverpool

Ujinga mkubwa wa huyu bwana ni kumuuza Alonso na kumreplace na ushuzi Lucas, hili hadi washabiki waaminifu wa Liverpool al maarufu kwa jina la Kopites walimgeuzia kisogo, na mpaka leo Liverpool hawajapata a great passer kama Alonso na ndio kisa cha Torres na hususani Gerrard kudrop kiwango chake.
Mbona unamchukia sana,mbona wa jina lako klamaliza msimu huu bila kombe lolote,sawa hiyo walipomfukuza ni laana kama ya Del Bosque kukosa ucl real madrid 2003 na mpk leo hawajabeba tena,mwaka unaenda wa 12 sasa,Benitez ndie aliekuja na kina Josemi,Alonso,Luis Garcia,Cisse na kuwapa ucl,achilia kupindisha mbona chelsea wenyewe 2012 si wamemaliza 5 wamemnyang'anya spurs nafasi yake,bora liverpool alianzia mchangani na everton pia yeye alifungwa home and away na villareal,mpe haki yake Benitez rekodi anayo nzuri kila timu aliyofundisha kaipa kombe la kimataifa,Mourinho kashindwa kwa Chelsea na Real Madrid zaidi ya kujivunia domestic na timu hizo za miji mikuu.
 
Wacha kuongea uongo bana, msimu wake wa kwanza team ilimaliza nafasi ya tano pamoja na kubahatisha kombe la UCL, ilibidi Uefa wapindishe sheria ili bingwa mtetezi ashiriki msimu iliofuata

Msimu aliofukuzwa (2009-10) Liverpool ilimaliza nafasi ya SABA, bado vipigo vya kipuuzi kutoka kwa team kama Wigan, kutolewa Europa na Atletico Madrid na usajili wake mbovu vilisababisha kibarua chake kuota nyasi.

Aliiacha Liverpool in bad shape tofauti na alivyoikuta, team ilikua na wachezaj wa hadhi ya Liverpool wanne tu, Gerrard, Torres, Carragher na Reina tu.

Usajili wa wachezaji kama Josemi, Nunez, Peter Crouch, Sissoko, Ryan Babel, Andril Vironin, Bellamy, Robbie Keane, Aquilani( aliyenunuliwa akiwa majeruhi) Johnson n.k ndio uliicost Liverpool

Ujinga mkubwa wa huyu bwana ni kumuuza Alonso na kumreplace na ushuzi Lucas, hili hadi washabiki waaminifu wa Liverpool al maarufu kwa jina la Kopites walimgeuzia kisogo, na mpaka leo Liverpool hawajapata a great passer kama Alonso na ndio kisa cha Torres na hususani Gerrard kudrop kiwango chake.
unaongea lakini haujui liverpool wanamkumbuka Benitez,na kama unabisha ntakuletea risiti,sikatai alichemsha kwa Alonso kumuuza,lengo lake alitaka amchukue Garry Barry toka Aston Villa,Lucas si mbaya kama mnavyofikiria,ni mzuri ni mkabaji,tatizo lenu mnaangalia wachezaji wa kukaa na mpira nyie,kuna wachezaji kama Gilberto Silva,Ramirez,Busquets,Khedira,Javi Martinez,Masscherano,Luis Gustavo,Carrick,Flamini(enzi zake Arsenal)ukisikia mtu anasema hajui mpira basi huyo soka hajui yeye anaangalia mchezaji wa kukaa na mpira,na hajui umuhimu wake wa kutibua pale kati,na makocha wenye akili ni kheri wawe na wachezaji hao kuliko na wakaa na mpira au chenga nyingi.
 
Hahahahahaahaaaa, umehama kwa Benitez umehamia kwa Lucas, anyway, simchukii Benitez at all coz kwangu mimi football comes first then ushabiki wa team sijui baadae,

my point is Benitez bado hana hadhi ya makocha wakubwa Ulaya yet, maana hata Di Matteo ana medal ya UCL but hilo halimuweki among the elites, hatujasikia hata akiingia kwenye nominees wa kocha bora wa dunia though the potential is there lakini kwa sasa Benitez sio level za SAF, Mou, Pep, Del Bosque, Ancelotti, Heynckes ( ambaye this year nna uhakika atapewa tuzo ya kocha bora wa mwaka) n.k
 
2004 la liga

2004 hadi leo hamna tena kombe la ligi kwake pamoja na timu zote alizofundisha na makombe yote ya UEFA aliyotwaa?halafu mnasema atawapa changamoto akina Conte na Allegri?!subirini!
 
Baelezee, baelezee Mzee!

Asee umesikia yaliyompata mzee mwenzetu?
 
mou, kuacha coach wa juv, kuna hata kocha yeyete anayefundisha serie Aaliyewahi kupata scudetto? Hakuna hata kocha 1 mwenye rekodi ya Banitez. 2002 alipopewa valencia msimu huo huo akapata laliga. 2004 tena akapata laliga na kama sikosei akapata na uropa league. Msimu wake wa kwanza pale anfied akapata uefa cl. Kwanini kwa napol ashindwe kufanya kama mestela na anfield?
 
Tulipe muda nadhani, muda utahitimisha ubishi.
Tuombe uzima, inshallah!
 
Kuna watu wanamchukia Rafa personal but hawana sababu za msingi,Rafa alipewa muda Valencia akachukua La Liga mbele ya Barca na Madrid

Alikuja Liva akabeba UEFA then akaja kufungwa fainali na Milan baada ya hapo hajawahi kupewa nafasi tena kwingine kote hakufundisha full season(Inter,Chelsea).Hakuna aliyesema Rafa yuko class moja na kina Pep,SAF,Jup,Anceloti au Mourinho hawa wote wamechukua UCL mara 2 while Rafa kachukua mara moja but huwezi mlinganisha na kina Allegri Au Conte.Allegri ndio alimuondoa Pirlo Milan na sasa ameshindwa hata kutengeneza combination ya Balo na SES ana bahati sana kuendelea kuifundisha Milan,Conte ana bahati amechukua ubingwa kilaini sababu timu za Milan kwa sasa ni vibonde.Kama nilivyosema huko nyuma Napoli ni chaguo sahihi kwa Rafa kwa sasa
 
2004 hadi leo hamna tena kombe la ligi kwake pamoja na timu zote alizofundisha na makombe yote ya UEFA aliyotwaa?halafu mnasema atawapa changamoto akina Conte na Allegri?!subirini!
ina maana akiwa England na Liverpool, FA Cup,Carling Cup,Ngao ya hisani,Benitez hajawahi kuyabeba,au unaamanisha ligi tu
eg EPL na Serie A?ebu weka wazi hapo!
 
Hahahahahaahaaaa, umehama kwa Benitez umehamia kwa Lucas, anyway, simchukii Benitez at all coz kwangu mimi football comes first then ushabiki wa team sijui baadae,

my point is Benitez bado hana hadhi ya makocha wakubwa Ulaya yet, maana hata Di Matteo ana medal ya UCL but hilo halimuweki among the elites, hatujasikia hata akiingia kwenye nominees wa kocha bora wa dunia though the potential is there lakini kwa sasa Benitez sio level za SAF, Mou, Pep, Del Bosque, Ancelotti, Heynckes ( ambaye this year nna uhakika atapewa tuzo ya kocha bora wa mwaka) n.k
Mourinho ni sawa tu na Benitez,sema ana kipaji cha kuongea na kweli anafanya mambo,hapo ungeniambia Heynckes na Del Bosque ndio nawakubali level za juu kuliko wote,semi final zote Benitez akiwa na liverpool ucl kamfunga Mourinho akiwa na Chelsea,na tusubiri super uefa cup Pep(Bayern Munich)vs Mourinho(Chelsea),hata Wenger nae naweza kusema mzuri ila wachezaji waking'ara hawatulii Arsenal,laiti angekuwa nao eg SAF nadhani wangetamba,maana kwa sasa hana mchezaji ambae sema alikuwemo Arsenal 2006,kitu ambacho Man unakuta Giggs toka kina Balotelli wanazaliwa mpk leo yupo Man Utd,ila nae anasifika watamtukana ila UCL hakosi na wachezaji wake wa mto singida then wakitamba msimu 1 wanaondoka,ndio inayomharibia,ila Benitez ana hadhi yake kubwa mpeni,kachukua Valencia msimu huo huo bingwa la liga mbele ya kina Barca na Real Madrid(Zidane,Figo,Carlos,Raul nk ndani)
 
Baelezee, baelezee Mzee!

Asee umesikia yaliyompata mzee mwenzetu?

nimesikia kaka!dah!nimehuzunika sana ila tutakuwa naye kiaina si unaelewa?mie sikujua kumbe kuna LIFE BAN?Dah!nimekuwa mwoga kwa kweli,yaani mtu uanze upya na ID nyingine,dah!mtihani kwa kweli!kwa hali hii lile jukwaa la siasa ntakuwa nalikimbia sasa,manake kuna watu wanatia hasira kweli kule,unajikuta umetapika bila kukusudia dah!noma mazee!
 
ina maana akiwa England na Liverpool, FA Cup,Carling Cup,Ngao ya hisani,Benitez hajawahi kuyabeba,au unaamanisha ligi tu
eg EPL na Serie A?ebu weka wazi hapo!

yah!namaanisha ligi tu mkuu!ligi ndo kila kitu kaka!
 
nimesikia kaka!dah!nimehuzunika sana ila tutakuwa naye kiaina si unaelewa?mie sikujua kumbe kuna LIFE BAN?Dah!nimekuwa mwoga kwa kweli,yaani mtu uanze upya na ID nyingine,dah!mtihani kwa kweli!kwa hali hii lile jukwaa la siasa ntakuwa nalikimbia sasa,manake kuna watu wanatia hasira kweli kule,unajikuta umetapika bila kukusudia dah!noma mazee!

Hilo jukwaa naweza kumaliza week bila hata kusoma headlines zake, hili la GC liliniuma kwa kweli but I think things will be okay!
 
Nilikuwa sijui kama Gang Chomba amepigwa ban,sijui ni kwa nini amepigwa ban.Ni zile movement zake kutaka Matola afunguliwe?
Invisible/Mods samahani sana naomba kujua ni kweli Gang Chomba amepigwa life ban na alifanya nini mpaka akafungiwa?
Nakumbuka huko nyuma kulikuwa na utaratibu kama mtu akipigwa ban inatangazwa na sababu zinatolewa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom