Napoli inakwenda kuishika serie A.

Napoli inakwenda kuishika serie A.

Hata Benitez hajawahi kuchukua EPL wala kuwa na team ya 'Invisibles'

Wote walewale, ila bora Wenger kuliko huyo fat spanish cook!
Benitez toka aondoke Liverpool mpaka leo uefa ucl hawajashiriki na amekuja kipenzi chao Daglish ola,so mpe heshima yake Benitez
 
Alipata laliga 2 mwanzoni mwa miaka ya 2000, na uefa ndogo almaarufu europa ligi mara 1 akiwa na valencia. Na mwaka huu kapata tena akiwa na chelsea. Mafanikio hayo ni ndani ya miaka 10 na amekaa bench tangu december 2010 kabla ya kuja kupewa chelsea kuja kumalizia upuu waliokuwa wakifanya kina dimateo pale darajani
aliibebesha liverpool ucl 2005,na toka aondoke mpk leo liverpool haijashiriki ucl
 
Hahahahaaa, usajili aliofanya wa maana Liverpool ni Alonso na Torres tu na Alonso mwenyewe walikuja zinguana baadae, hiyo Liverpool ipo hapo leo hii kwa ajili ya usajili mbovu aliokua anafanya Benitez, yeye ndio sababu ya Liverpool kudrop kutoka big 4 kwenda cjui wapi, ask around!

Na kama unachosema ni kweli, hakuna aliyekua anamjua Mou before Porto wahajawa mabingwa wa Ulaya, hakuna aliyekua anawajua kina Deco, Carlos Albeto, Maniche na ndio alichukua nao UCL na washambuliaji wa bei chee kina Ben McCathy, tuambie alitumia pesa gani kule?

Hiyo Inter alitumia mamilion gani kuchukua ubingwa? Kama sio wachezaji waliokua wametupiwa virago na vilabu vyao kama Etoo, Thiago Motta, Lucio, Sneider, Millito, ambao ndio walikua nguzo ya ile team iliyochukua treble.

Benitez aliikuta Inter imesukwa vilivyo na hakuna hata mchezaj mmoja aliyekua kaondoka, kilimshinda nini kama ana hizo mbinu unazosema? Alikaa Liverpool muda gani? Mbona hakushinda ligi hata mara moko kama alivyobahatisha UCL?

Ukitaka kujua wewe ni kati ya watu wenye wivu wa kike na mvivu wa kufikiri hebu jiulize Jose Mourinho katokea wapi kwenye utetezi wako wa Napoli na Benitez wako?

Kwa namna nyingine unamfanya Mourinho kama model wa kukusaidia ku-analyse mafanikio ya bwa mdogo Rafa!
Jiulize toka Benitez ameondoka liverpool imeshiriki ucl?
 
"Waitaliano wanashangilia kurudi kwa top players serie a"ndivyo lilivyoandika Gazetta dello Sport!Tevez,Higuian,Gomez,Strootman,Llorente,Balloteli na wengine wanakuja.ila Napoli wameshaanza vita ya maneno na Juve.wanasema "real argentinians don't play in Turin"wakichukulia historia ya wao kumiliki waargentina pure kama Maradona na huku Juve ikiwa na historia ya kuwa na machotara wa kiargentina kama Omar Sivori,David Trezeguet,Mauro Camoranesi n.k!hawa naona wamemlenga Tevez kwa vile tuliwapiga bao kumsajili na pia wao wamempata Higuian ambaye tulishindwa kumsajili halafu wote wawili ni waargentina pure!kwamba Tevez kakosea kuja Turin,sivyo?haya bhana,huwa napenda watu wenye kelele kama hawa.watafurukutaa,mwisho unasikia top three ni Juve,Milan,Inter!halafu Napoli wana tabia ya kufilisika kwa kupenda sifa hivi hivi.watu wa Naples wako proud sana!nashauri Napoli ingetafuta president toka nje ya Naples kwa ustawi wa muda mrefu vinginevyo nyie subirini muone.sie tupo kimya na akina Marrone wetu,ngoja ligi ianze,wataanza kulalamika Juve inabebwa baada ya kula vichapo toka kwa wachezaji wasiowategemea!usajili si sifa,ni kutuliza kichwa.nasema hivii "see you at the crossroads"kama walivyoimba Born Thugs'n Harmony!
 
By Belo<br />
Wenger hajawahi beba Uefa Champions League,hawezi kuwa pacha na Benitez kwa sasa
<br />
<br />
Hata Benitez hajawahi kuchukua EPL wala kuwa na team ya 'Invisibles'<br />
<br />
Wote walewale, ila bora Wenger kuliko huyo fat spanish cook!
Mkuu,
Your comparison is irrelevant,Nimetumia UCL as benchmark sababu hata ukiwa unafundisha Serbia,France,Italy au Spain una posibility ya kuwania UCL hata wajina wako alipata respect sana baada ya kuchukua hilo kombe akiwa na Porto.So far Rafa amebeba UCL ,Uropa Cup mara 2 na kumbuka alibeba La Liga mbele ya Barca na Madrid so anastahili sifa.Baada ya Mazari kuondoka Rafa alikuwa ni among the best candidate who where available in the
 
...naomba niweke hili sawa, baada ya serie A kuwa nyuma ya laliga, na primeir league, kwa muda, Serie A inakwenda kushika pia soka la ulaya...Banitez anakwena kulibust soka la italy, lililozorota tangu miaka ile ya katikati ya 90, baada ya kizazi cha kina Gulit, van basten, costacuta,baresi, donadoni na wengine kutundika daruga.
 
Jiulize toka Benitez ameondoka liverpool imeshiriki ucl?

Benitez ndio sababu ya kiwango cha Liverpool kushuka,in fact wakati anaondoka/anatimuliwa they were already out of top 4.

Alikua anafanya usajili mbovu sana, ukiacha Torres na Alonso( ambaye toka aondoke, team haijapata mbadala wake), Wachezaji wengine wote walikua magalasa tu na ndio walioifikisha Liverpool hapo ilipo.

We unadhani kwa nini alitimuliwa kama sio kiwango kibovu na kushindwa kuqualify for UCL?
 
...naomba niweke hili sawa, baada ya serie A kuwa nyuma ya laliga, na primeir league, kwa muda, Serie A inakwenda kushika pia soka la ulaya...Banitez anakwena kulibust soka la italy, lililozorota tangu miaka ile ya katikati ya 90, baada ya kizazi cha kina Gulit, van basten, costacuta,baresi, donadoni na wengine kutundika daruga.

Wewe usiyejua hata nini kilitokea Serie A mwaka 2010, utatuambia nini about 90's?
 
Benchmark ya timu au kocha yoyote ulaya ni moja: kuibeba ile ndoo ya UEFA Champions league. Period
Hata ushinde EPL au La Liga au Eredivisie mara 10,000 au hata uwe na invisible teams ni zero kama hiyo ndoo huna. Ndio maana hata washika bunduki wa London kila mwaka hugombea nafasi ya nne
 
...naomba niweke hili sawa, baada ya serie A kuwa nyuma ya laliga, na primeir league, kwa muda, Serie A inakwenda kushika pia soka la ulaya...Banitez anakwena kulibust soka la italy, lililozorota tangu miaka ile ya katikati ya 90, baada ya kizazi cha kina Gulit, van basten, costacuta,baresi, donadoni na wengine kutundika daruga.

jamani Chomba na Mourinho hebu muondoeni huyu Zero hapa kabla sijamtafuta hadi anapoishi hata kama ni U.k ntakuja nimtandike ngumi moja napanda ndege na kurudi zangu bongo na haamki tena!ananichefua hapa!unajua Zero sipendi uchokozi!huu ni uchokozi wa wazi wallah nasema ntakutafuta nikukande moja tu ya uso au nitaenda kwa babu yangu bwagamoyo atarusha shilingi juu akisema Ziroo utastukia unapigwa shilingi isiyoonekana usoni kama yule refa Anders Frisk wa Sweden alivyostaafishwa na curva du sud ya Roma!eti unasemaje?italian soka ilikufa miaka ya tisini?are you sure?umeanza kucheki soka ya ulaya lini wewe?angalia hizi fainali:1990-milan 1 benfica 0,1992-barcelona 1 sampdoria 0,1993-marseille 1 milan 0,1994 milan 4 barca 0,1995-ajax 1 milan 0,1996-juventus 1,ajax 1(juve wakabeba kwa penati ya Vialli nakumbuka mpambano huu na jezi zetu za bluu,zile bukta ukimpa Messi avae leo atakutukana!nililia kwa furaha ile penati siisahau tulikuwa washkaji 12 tunatazama hii mechi wote juve,enzi hizo premier league kuna Nottingham forest,wimbledon zikijaa watu weusi,unamjua ian right wewe?unaijua jezi ya JVC?halafu mnasema mnaijua arsenal na kututambia sie tunashabikia Juve!),..niliishia wapi..1997-dortmund 3 juve 1(bao la kisigino la del piero uliliona wewe?),1998-madrid 1 juve 0,1999 juve wakatolewa semi final na man u iliyokuja kubeba ndoo dk za jioni kwa kona mbili na sub mbili za Ferguson huyu babu mwacheni apumzike kawafanyieni makubwa sana,..tuendelee..2003 milan vs juvent..aah..nimevuka mstari,tulikuwa tunazungumzia miaka ya 90,haya turudi UEFA ndogo(UEFA CUP),1990 Juve 3 fiorentina 1(nakutajia aggregate score maana watu walicheza mechi mbili hamna kubahatishana sio nyie juzi mmembahatisha benfica mechi moko mnaimba wee na kupigia kelele watu wazima hapa),inter 2 roma 1,..nimesahau kukuandikia mwaka,hiyo ni 1991,1992 ajax wanamfunga mdogo wangu Torino kwa penati,1993-juve 6 dortmund 1,(wacha watupige tu 1996!),1994-inter 2 salsburg 0,1995-parma 2 juve 1(tulikosa magoli sana mechi hii),1997-schalke anampiga inter kwa penati,1998-inter 3 lazio 0(unamjua hernan Crespo wewe?),1999 parma 3 marseille 0..au hujui Parma ni ya wapi?au huelewi inter,juve,milan,sampdoria,lazio,torino,roma,fiorentina ni za wapi?hii miaka niliyoitaja sio miaka ya 90?au wewe unazungumzia 90's ya miaka gani?au umesahau labda ulikuwa unazungumzia muziki wa 90's? unamjua Craig Mack,naughty by nature(you know OPP..hey you know me?),blackstreet,born thugs'n harmony,babyface,boyz to men,michael jackson(dangerous)miky jagger,eddy sheggy,niko zengekala,sikinde ngoma ya ukae,dar international,au tuhamie NBA..Unamjua Jordan,unawajua Utah Jazz?au masumbwi..unajua tulikuwa tunaamka saa ngapi kumuona iron Tyson?au viwanja vya disco..unaijua la prima club wewe?hivi wewe umewahi kuruka ukuta kumuona celestine "Sikinde" Mbunga?90's gani unazungumzia wewe?unasema milan ya akina basten ilivyopita soka ya italia ikafa,milan ya akina Cafu na shevchenko umeiacha wapi?inter ya Ronaldo?juve ya Trezeguet?fiorentina ya batistuta?lazio ya huyu kocha wa Atletico?....zero..zero...Mourinho hebu muondoe huyu mtu hapa nisije nikampandia ndege sasa hivi!we zero..nikutafute?haya piga magoti hapo ulipo uombe msamaha kwa kutuongopea watu wazima usiku kweupee..!muangalie kwanza!mdomo kama Damiano Tommasi!haya ingia google image uanze kumtafuta!...
 
Kwa usalama wake itabidi nimuondoe tu, kwa sababu katutibua wote hadi Sheikh Gang Chomba ambaye yuko kwenye Ramadhan na siku ya leo ni special kwake, yupo anajipongeza na mafanikio ya Dinho, halafu bwa mdogo anaongea ushuzi?

Lakini msamehe bure, dogo asiyejua hata historia ya juzi hapo 2010 atajuaje ya 1990's? Hata hiyo google hamsaidii naona, msamehe bana usije mkandika moko tu akanyooka!
 
Mkuu juve2012, nimecheka sana! Kwa taarifa yako hamna hata ki2 ki1 nisichokijua hapo katika mtiririko wako...nikiri tu hapa nimeanza kuangalia soka la ulaya hasa epl league miaka ya 90, kupitia chanel ya kbc. Nikiwa mshabiki mkubwa wa new castle. Fifa world cup nimeanza kuona zile za 1990 zilizofanyika italy. Tulikuwa tukiangalia pale ccp moshi au pale chuo cha ushirika. Ucl fainal yangu ya kwanza ni 1997 dortmund vs juve...sasa mkuu naomba wewe na wanazi wenzako mnisaidie ki2 ki1.fifa world 90 iliyofanyika pale italy, kwenye nusu fainal italy waliondolewa na Argentina ya maradona kwa mikwaju ya penalt. Baada ya mechi magazeti ya italia repablica, gazzete della spot,na mengine yalikuja na kisingio cha namba 17 ya mkosi. Sababu hizo zilikuwa 5, 1 ya sabubu hizo ni mchezaji aliyekosa penalt alivaa jezi namba 17. Kuna 7bu nyingine 4 nimezisahau. Kama kuna mwenye kumbukumbu aziweke hapa!
 
Last edited by a moderator:

1997? Ni juzi tu!
Kwa hiyo hata the Great Dutch Trio huwahi kuiona?
 
Hahahahahahahaaaaaa!!!!
kwa hiyo kama umezisahau? Nenda kagoogle utapata majibu yote unayotafuta, huu ujanjaujanja unataka kuuleta hapa bana,

anyway sababu moja kama sikosei The Azzuri walifunga goal in 17th minute na lilirudishwa na Claudio Caniggia

Tatu zilizobaki kagoogle, ikikosa rudi hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kipa wa Argentina bwana Sergio Goycochea alizaliwa trh 17
 
1997? Ni juzi tu!
Kwa hiyo hata the Great Dutch Trio huwahi kuiona?

mwana hiyo ndo iliyochukua kombe la euro 1988? Au iliyocheza fainal ya world cup miaka ile na west german ya kina rumannige? Funguka mkuu
 
weka mpangilio mzuri bhana, eti ilikuwa mara ya 17 Azzuri kuchezea kwenye dimba walilotolewa?

Halafu kama sikosei, kabla ya goal la Claudio Caniggia, Azzuri walikua wamecheza dk 517 (if not 617) bila kuruhusu goal lolote, kwa lugha nyingine Caniggia ndio aliupa ufa ukuta wa Azzuri
 
mwana hiyo ndo iliyochukua kombe la euro 1988? Au iliyocheza fainal ya world cup miaka ile na west german ya kina rumannige? Funguka mkuu

Lakini nachokumbuka sana kwenye fainali hizi ni kwenye 16 bora kati ya W.Germany Vs Netherlands, unajua kulikua na mtanange gani wa Serie A kwenye hii round? Inter Milan Vs AC Milan

Inter Milan (wajeruman) Andreas Brehme, Lothar Matthaus na Jurgen Klinsmann Vs AC Milan (wadutch) Marco van Basten, Ruud Gullit na Frank Rijkaard.
FT Inter 2-1 AC Milan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom