Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,439
- 17,919
- Thread starter
- #81
....hata mimi ckuwa najua, ndio naona hapa. Jukwaa la sports bila Gang Chomba ni sawa na chai bila sukari! Hivi m2 huwezi kukata rufaa?Nilikuwa sijui kama Gang Chomba amepigwa ban,sijui ni kwa nini amepigwa ban.Ni zile movement zake kutaka Matola afunguliwe?
Invisible/Mods samahani sana naomba kujua ni kweli Gang Chomba amepigwa life ban na alifanya nini mpaka akafungiwa?
Nakumbuka huko nyuma kulikuwa na utaratibu kama mtu akipigwa ban inatangazwa na sababu zinatolewa
Last edited by a moderator: