kwani inter ilipata kikombe cha ucl mwaka gani? Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa ni 2011 kwenda 12. Banitez alishamsafishia njia cha lomo. Banitezi kaondoka pale inter dec 2010. Kama ntaktwa cpo sahihi ntaomba radhi na ntarekebisha
Kaka Zero hebu niambie mara ya mwisho Benitez kutwaa taji la ligi akiifundisha timu msimu mzima?huyu jamaa ni mzuri wa knockouts huenda tukapata upinzani Coppa Italia na Champions league lakini si serie a na wala si Juve au Milan watakaomshughulikia bali ni Parma,Bologna,Udinese na timu za aina hiyo huwa zinamtoa kamasi na hizo ndizo timu nyingi kwenye ligi.atashinda kwa Juve,Milan,Inter,Roma halafu huko kwingine kote ni majanga tu!
Yaani Chomba huwa anasema hakuna dhambi kubwa kama kukurupuka!
kwani inter ilipata kikombe cha ucl mwaka gani? Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa ni 2011 kwenda 12. Banitez alishamsafishia njia cha lomo. Banitezi kaondoka pale inter dec 2010. Kama ntaktwa cpo sahihi ntaomba radhi na ntarekebisha
huu ujumbe ungemfikia Aurelio de Laurentiis atulize boli na vijipesa vyake visije kwisha kabla hajauza movie zake vizuri!
kwani inter ilipata kikombe cha ucl mwaka gani? Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa ni 2011 kwenda 12. Banitez alishamsafishia njia cha lomo. Banitezi kaondoka pale inter dec 2010. Kama ntaktwa cpo sahihi ntaomba radhi na ntarekebisha
Umepotelea wapi au umegoogle ukagundua kuwa umechambia tindikali?
Alipata laliga 2 mwanzoni mwa miaka ya 2000, na uefa ndogo almaarufu europa ligi mara 1 akiwa na valencia. Na mwaka huu kapata tena akiwa na chelsea. Mafanikio hayo ni ndani ya miaka 10 na amekaa bench tangu december 2010 kabla ya kuja kupewa chelsea kuja kumalizia upuu waliokuwa wakifanya kina dimateo pale darajani
Napoli watamkumbuka sana Cavani.....
Higuain hawezi kuvaa viatu vya Cavani.....
Napoli bila Cavani ni sawa na Arsenal bila Henry (wa ukweli).....
Mleta thread unajifariji tu.....Yaani Napoli iwe tishio kwa kuwasajili Reina na Higuain......Halafu na kocha garasa/kimeo Benitez......
Timu tishio Serie A zitaendelea kuwa Bianconeri na Rosoneri tu.....Hao wengine ni wasindikizaji tu.....
Haijui Serie A huyo......Mkuu kwanza huyu bwana zero ni shabiki wa spain au la liga, haijui vizuri ligi baba ya Serie A ndio maana anasema huyo mchovu Rafa ataleta radha ya spain ndani ya Serie A na kashfa nyingine kaziongea huku juu.
Kikubwa tuombe uzima tu, tutamkamata hapahapa na waspain wake wa Napoli
Aurelio kabugi sana na Napoli yake. Katoa pesa nyingi kwa Higuain. Faida wangeipata kama wangemuuza Cavani Man City, wangepewa pesa na Edin Dzeko juu. Wao wameona hela nyingi kumuuza PSG Matokeo yake wameenda kuinufaisha Madrid bure. Yan Benitez namuonea huruma sana jinsi atakavyokua anaitafuta nafasi ya UEFA CUP kwa mbinde msimu ujao. Mpira wa Italy tunaujua wenyewe wajameni, Ukileta mambo ya spain kwenye serie a utaishia nafasi ya 8.
Benitez na Prof. Wenger wote sawa sawa tu. Hawana jipya zaidi ya kuzilostisha timu zaoHaijui Serie A huyo......
Rafa ni kocha ambaye ni FAILURE......Sijui kwa nini timu huwa zinampapatikia eti......Asivyokuwa na akili atajaza waspain Napoli kama alivyofanya akiwa Liverpool.........Naliona anguko la Napoli mkuu, Rafa atalizamisha jahazi la Napoli....
Uko sahihi kabisa mkuu.....Benitez hana tofauti na Wenger.....Ni kama mapacha vile....Benitez na Prof. Wenger wote sawa sawa tu. Hawana jipya zaidi ya kuzilostisha timu zao
Uko sahihi kabisa mkuu.....Benitez hana tofauti na Wenger.....Ni kama mapacha vile....
Vilabu vikongwe nchini Italia, Juventus Turin, AC Milan na Inter Milan vinategemea kupata upinzani mkali na wa kweli toka kwa club iliyowahi kuwa na mchezaji boro kabisa kupata kutokea dunia hapa namaanisha Dieogo Armando Maradona. Napoli kilabu kilichomchuku aliyekuwa kocha wa muda wa chelsea, Rafael Banitez na ni kocha ambaye anamafanikio kuliko makocha wote wanaofundisha serie A kwa sasa. Napol wamefanya usajili wa maana kuliko vilabu vyote vinavyoshiriki serie A. Napoli inakwenda kumpata mpasia nyavu Gonzalo Higuani ambaye ataufanya mji wa nepol uzizime. Najua hizi c habari nzuri kwa ndugu zangu Gang Chomba na juve2012. Poleni sana naona ufalme wa serie A ukihamia nepol na kuachana na miji iliyozoeleka ya Turin na Milan.
Wenger hajawahi beba Uefa Champions League,hawezi kuwa pacha na Benitez kwa sasa