Napitia katika changamoto kubwa

Madame mshukuru mungu kwa jinsi ulivyo na nilivyooona caption nitajua unashida kuuuubwa ,endelea kuomba endelea kua muaminifu kwa mungu wako,achana na huo mzigo wa mume wa mtu anakuzuia ktk baraka Zako,God time is the best time I belive hujachelewa na u shukuru unakazi jitunze
 
mimi niko silias niko bagamoyo natafuta mwanamke wa kuoa ila kama uko tayari tutafutane kwa mawasiliano 0767470332 au 0675918135 ila kama uko tayar bagamoyo niko kikazi nyumban mwanza

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
kuna 'online dating' ushajaribu hio?yaani una miaka 32 unasali novena mwaka mzima?? PM zitajaa kutokana na hii post yako..kumng'amua aliye mkweli ndio 'majaribu' utakayopitia..lol
 
Duh kumbe kuna wanawake wa disign yako aisee..!!! Ila ungekuwa near by ningekuchek ili kuyajenga
 
Acha kukosa uvumilivu. Uko desperate kiasi kwamba utafanya maamuzi ya kujuta baadae. Sometimes sio kuzaa tu sababu unataka mtoto, Endelea kumwomba Mungu.
 
mie sitaki mtoto wala sitaki ndoa nachohitaji ni kuitoa hiyo bikira tu. Maana hiyo ndio inakutia uchuro itoe utaona wanaume watakavyomiminika kutaka kukuoa
 
Kama unatafuta Mume Ni pm nikupe michongo ya kibabe.
 
umeamua kumtegemea Mungu......ndio njia sahihi....Mungu hajaribiwi kwa kufunga au kusali sana......kamwe....Mungu husikiliza maombi yetu.....na hasa tukiwa wahitaji na unyenyekevu wa kweli.....kuwa makini sana dada yangu...usilazimishe mambo.....amekwambia....bisha hodi mpaka nikereke.....ntakufungulia.....bisha bidada.....bisha hodiiii tuu...Mungu yupo...
 
Mkumbushe Mungu wako kuwa ulijitunza kwa ajili ya kuingia kwenye ndoa kama alivyoamuru,kwamba sasa akupe mume aliyemkusudia,usiache kumuomba,usikate tamaa,kuzaa mradi upate watoto siliungi mkono,kumbuka muomba Mungu hachoki,nina hakika asilimia mia moja ndoa yako na aliyekuchagulia Mungu haiko mbali,nina hakika na Mungu ninayemzungumzia

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Jihusishe na makundi mazuri kama vile kwaya, vikundi vya sala kama viwawa, regio maria, nk. Huko huko wakati unasali uwe unachungulia chungulia nani anafaa kuwa mme wako. Ukiona anayefaa jiweke karibu taratibu taratibu wala husiwe na haraka kama unayoonesha hapa kwenye bandiko lako. Wewe vipi, wakatoliki wote hapo mwanza wanaotafuta wake wabichi na wacha Mungu kama wewe huwaoni hadi unakubali kubadili dini kabla hata ya kupata mpenzi mwenyewe wa kukubadilisha. Usikatie tamaa dini yako na msimamo wako. Ulichofanya ni kizuri kabisa kujiweka najifu mbele ya Mungu na kutunza (mwili) bikra yako ila sasa inaonekana umekata tamaa vibaya mno. Usijirahisishe kwa wanaume, utaharibikiwa mapema kabisa. Ebu jichanganye na vijana wa imani yako iliyokufikisha hapo utapata mme huko huko na haitakuchua muda. Dini zetu, mbali na kusali na kutufundisha mema ni sehemu sahihi ya watu kama wewe kuweka mawindo ya kupata wenza wao wa maisha.
 

Iyo Novena imeshakuangusha jaribu kwa Yesu....
 
Ulikosea sana kujitenga na wanaume kipindi upo unasoma..kwa miaka uliyo nayo na kwa dunia hii ya sasa ni kusali sana pasipo kukata tamaa... aidha upate mtu ambaye hana mtu au atakaye kuja kwako atakuwa ni mume wa mtu
kama mwanaume wa kuzaa nae tu japo ni ngumu kupata pia ila...NI OMBI LANGU KWA MUNGU KWAKO katika kila uwombacho Mungu akitimize Mungu aliye wapa wengine hato shindwa kukupa na wewe haja ya moyo wako...MUNGU akupitishe njia salama Dada yangu amini nakwambi MUUJIZA WAKO UNAKUJA MBELENI Mungu yupo njiani kukujipu....NAKUTAKIA SIKU NJEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada fuata huu ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mnaushauri mzuri mpaka mnakela


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…