Napitia katika changamoto kubwa

~Tumia hii platform (jamii forum) kutafuta mwenza. Jf ni platform nzuri sana as unapata wigo wa kukutana na watu wa aina tofauti, wenye weledi na sifa tofauti. Jitahidi sana kumuomba Mungu wakati unachunguza vijana wa jf, usipokuwa makini watakuchapa nazo hadi ushangae.
~Acha kupanic, tumia mda huu kujiweka safi, nadhifu na mwenye tabasamu.
~Endelea kujitunza, 32yrs naamini we ni mdada katika umri mzuri sana. Utapata mtu sahihi kabisa, worry not.
 
Huyu dada leo sijui kapata pm ngapi, bikra jamani inawazuzua.
Inbox yake ita-jam leo, asipokuwa makini watu watajipigia balaa, jf ni nzuri ila yaweza kuwa jalala mtu asipokuwa makini.
 
Duuh una moyo hujawahi pata penzi kwa umri huo. Ni ngumu kupata mtu amabye hajaoa kwa umri wako labda akubali kuwa marioo.

Mtoto ni muhimu ila jiweke kisasa zaidi na usionyeshe kuwa katika uhitaji sana wa ndoa uingie katika mahusiano ya kawaida mwisho mfikie ndoa.

Kubwa jiamini kuwa msafi na usiewe too much selective pima upeo wao bila shaka atatokea wa kufunga nae pingu za maisha.
 
Sasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
Kuna familia naifahamu mwezi Juni mwaka huu wamepata mtoto make akiwa mid 40. Wewe uko 32 unapagawa! Nyakati hizi kina dada kuolewa wakiwa 30+ years imekuwa kawaida, sababu ya shule na uchumi zinasababisha hayo. Usidanganyike, endelea kumwamini na kumuomba Mungu, giza linapozidi kuwa nene ndipo asubuhi inazidi kuwa karibu, jipe muda zaidi.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janesc

Janescom,

Pole kwa uliyopitia. Pole sana. Nadhani tunaweza kukutana pamoja tukayajenga,kwa thinking uliyonayo nadhani kuna kitu cha msingi tutakitengeneza na furaha yako itarudi. Sijajua uko mkoa gani,lakini nahisi uko Dar es Salaam. Kama ndivyo,naomba unipigie namba yangu ni hii . Let us meet and talk and get assured that all shall be well
 
Hafu wewe Dada na bikra shaku notice aisee ndo umedeshi deshi kote na Ku deshi deshi, hafu watu wako wakikushauri husikilizi unang'ang'ania lililoko kichwa ni, usipobadilika na hyo bikra karne hii si deal. Kubali u shauri aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nimemwambia asifikiri akishazaa na akishaolewa dunia ndo itakuwa nchi ya maziwa na asali!!
Mana zaidi ya emotional satisfication sidhani Kama Kuna la ziada atakalolipata baada ya hiyo so called bikira kuvunjwa!!

WELL, THERE IS ALWAYS GOLD AND PEARLS ON THE OTHER SIDE OF THE RIVER.
so mwacheni!!
 
YANI HAJUI HUYU!!
mana ataliwaje bila ndomu kwa imani tumeshapima?


Uuuuuwih!!
 
Huyu dada leo sijui kapata pm ngapi, bikra jamani inawazuzua.


Hlf utashangaa cjui kwasababu ya maringo au pride, mtoa mada hatojibu pm hata moja, but still atalalamika anakosa mwanaume wa kumuoa, kutojibu pm ina-reflect tabia yake akiwa mtaani, na inachangia yy kukosa mme amu
 
Utapata tabu sana kama misuli ya bikira utaiacha ikomae zaidi (joke). Embu jaribu kuweka izo novena Na rozali pembeni, Mungu ni roho nasi tumwombao yatupasa tuombe katika roho Na kweli. Wakati wako utafika and I will b there 4u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitaji ni lipi kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole dada.
Inawezekana una masharti mengi sana ktk kutafuta mume. Yaani unaye mwanaume wako umemuumba kichwani tayari kiasi kwamba kila anayekuja unaona ana kasoro, na hv umesoma na una kazi nzuri!!

Alafu kama umemwomba Mungu basi muache atende usimpangie muda na wakati. Mungu hawai wala hachelewi dont stress urself over something u cant change

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, inawezekana umri tukawa sawa ila nitafute pm nikuelekeze kitu cha msingi ambacho sijaona aliyekisema. Nadhani utanishukuru sana maisha yako yote na utakuwa na furaha siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama bikra hapo sawa wabongo watafurahia .....kama umeandaa pesa ya kulelea watoto njoo likizo ....tumalize tatizo
 
Mwanza mbali ungekua daalamu tungeyajenga

Ila pia muonekano nao uzingatiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…