Napitia katika changamoto kubwa

Pole sana dada miaka hyo so mingi sana naomba usivunje agano uloweka na Mungu maana utapata tabu sana kwa hyo mwanamme alivokuja huo n ushuhuda tosha emu tulia tu mwanamme atakuja kwa wakat wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio jibu sahihi.
Na kuna ile hali ya kuchaguaaa sana nayo ni mbaya Na inaponza.Ni vizuri kuchagua but isiwe too much mpaka basi.Kila MTU ana mapungufu yake kikubwa kuchukuliana Na kuvumiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli uliyosema but ungechagua mfano mwingine wa Kufa tena.
Nimesikitika kwa huyo Dada aliyekufa Na kuacha Mtoto I can imagine how it feels like.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo pm tupange...
 
Fanya subira - kila kitu kina wakati wake kuwa mkakamavu na imani yako kwa Mungu - haya yote inaweza kuwa yanatokea ni kwa masilahi yako na upendo wa Mungu kwako - usikate tamaa na kujipeleka mweyewe kwenye mitego na majanga
 
Stress ziko pale pale mkuu unless mawazo yako yatimie kama ulivyokusudia awali kinyume na hapo umetengeneza hisia ili kuendana na mazingira yanayokuandama!
Ukijifunza kuwa positive kwa kila jambo na subira utapata Amani ya moyo ukiwa na mihemko unajitaftia maradhi bure. Pia wataalamu wadai kukifikiria kitu na kikuumize hamainishi unakiondoa ila unajiandalia matatizo plus, in this life health, peace of mind, shelter ni mambo ya kumshukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani usipoangalia utaangukia pabaya sana utatolewa bikra utabeba mimba na utapata tabu sana hata kama upo tayari kulea mtoto tulia mwanamke. Calm down watu wanaolewa mpaka miaka 40 miaka 32 umekuwa chizi hivyo. Jichanganye nenda kanisani, harusini, sokoni, vikao vya harusi, jitoe hata out kidogo uonekane. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi ukifika utapata mume tu endelea kuomba bila kuchoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…